Majina ya waliopendekezwa kugombea EAC kutoka CCM

pinguli

Senior Member
Oct 12, 2010
122
14
Majina ni haya hapa:

by Nape Moses Nnauye on Wednesday, March 28, 2012 at 5:28pm·

Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi imekutana leo jijini Dar es Salaam chini ya Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Mrisho Kikwete. Katika kikao hicho Kamati Kuu ilijadili na kuteua wagombea Ubunge katika Bunge la Afrika Mashariki kama ifuatavyo:-
Tanzania Bara
(a) Wanawake:

Waliojitokeza ni kumi na saba (17)
Waliopendekezwa ni kumi na wawili (12)
Na.
Jina
Uamuzi wa Kamati Kuu
1
Ndugu Janeth Deo MMARI
Amependekezwa

2
Ndugu Janet Zebedayo MBENE
Amependekezwa

3
Ndugu Fancy Haji NKUHI
Amependekezwa

4
Ndugu Norah Petro MUKAMI
Amependekezwa

5
Ndugu Shally Joseph RAYMOND
Amependekezwa

6
Ndugu Shy-Rose BHANJI
Amependekezwa

7
Ndugu Ngollo MALENYA
Amependekezwa

8
Ndugu Godbertha KINYONDO
Amependekezwa

9
Ndugu Hamidah Kisaka KALUA
Amependekezwa

10
Ndugu Angela KIZIGHA
Amependekezwa

11
Ndugu Happyness Elias LUGIKO
Amependekezwa

12
Ndugu Ruth Blasio MSAFIRI
Amependekezwa


(a) Wanaume:

Waliojitokeza ni arobaini na sita (45)
Waliopendekezwa ni kumi na saba (17)

Na.
Jina
Uamuzi wa
Kamati Kuu
1
Dkt. Aman Walid KABOUROU
Amependekezwa

2
Ndugu John Juma NGONGOLO
Amependekezwa

3
Dkt. Evans Mujini RWEIKIZA
Amependekezwa

4
Ndugu Siraju Juma KABOYONGA
Amependekezwa

5
Ndugu Bernard Simon MURUNYA
Amependekezwa

6
Dkt. Edmond Bernard MNDOLWA
Amependekezwa

7
Ndugu Christopher Simeon AWINIA
Amependekezwa

8
Dkt. Hilderbrand Ezekiel SHAYO
Amependekezwa

9
Ndugu Charles Makongoro NYERERE
Amependekezwa

10
Ndugu Adam Omar KIMBISA
Amependekezwa

11
Ndugu Elibariki Immanuel KINGU
Amependekezwa

12
Ndugu Simon Sales BEREGE
Amependekezwa

13
Ndugu Mrisho GAMBO
Amependekezwa

14
Ndugu Handley Mpoki MAFWEGA
Amependekezwa

15
Ndugu William John MALECELA
Amependekezwa

16
Ndugu Mussa Elias MNYETI
Amependekezwa

17
Ndugu Godfrey Conrad MOSHA
Amependekezwa




ZANZIBAR

(a) Wanawake:

Waliojitokeza ni nane (8)
Waliopendekezwa ni watano (5)

Na.
Jina
Uamuzi wa Kamati Kuu
1
Ndugu Septuu Mohammed NASSOR
Amependekezwa

2
Ndugu Safia Ali RIJAAL
Amependekezwa

3
Ndugu Rukia Seif MSELLEM
Amependekezwa

4
Ndugu Sabah Saleh ALI
Amependekezwa

5
Ndugu Maryam Ussi YAHAYA
Amependekezwa


(b) Wanaume:
Waliojitokeza ni nane (8)
Waliopendekezwa ni nane (8)

Na.
Jina
Uamuzi wa Kamati Kuu
1
Dkt. Said Gharib BILAL
Amependekezwa

2
Ndugu Abdallah Ali H. MWINYI
Amependekezwa

3
Dkt. Haji Mwita HAJI
Amependekezwa

4
Dkt. Ahmada Hamad KHATIB
Amependekezwa

5
Ndugu Zubeir Ali MAULID
Amependekezwa

6
Ndugu Khamis Jabir MAKAME
Amependekezwa

7
Ndugu Abdul-Aziz Salim ABDUL-AZIZ
Amependekezwa

8
Ndugu Mbwana Yahya MWINYI
Amependekezwa


Majina ya walioteuliwa yatafikiwa kwenye kikao cha Kamati ya Wabunge wa CCM tarehe 3 Aprili, 2012. Kamati Kuu imewateua wafuatao kusimamia uchaguzi huo.

(1) Ndugu Abdulrahaman O. Kinana - Mjumbe wa Kamati Kuu
(2) Ndugu Nape M. Nnauye – Katibu wa Itikadi na Uenezi
(3) Ndugu Dogo Mabrouk – Makamu Mwenyekiti Jumuiya ya Wazazi

Imetolewa na:-




Nape M. Nnauye,
KATIBU WA HALMASHAURI KUU YA TAIFA
ITIKADI NA UENEZI
28/03/2012
 
Kwanin usiyaweke tu moja kwa moja mpaka mtu alog in FB?
au Mark Z anakulipa kulingana na hits zitazotokea kwenye link yako? Weka wazi tukuwezeshe mjasiria mali

Mie namjua baharia tu!
 
..Kwanini Shy Rose Bhanji anatafuta Uongozi wa kisiasa kwa bidii namna hii?! Kaahidiwa nini huko kwenye siasa!,
 
mhh nipe na profile ya kila mmoja nazihitaji tafadhali,yaani shule aliyosoma,alikuwa na shughuli gani awali, bila kusahau kunieleza baba yake aliwahi kushika nafasi gani hapo nyuma katika taifa letu na amemuoa mtoto wa nani( ukwe)? yasije yakawa kama ya arumeru., usiangaike kunipa profile ya makongoro nyerere maana ni mtoto wa mwl.

Samahani kama ntakuwa napingana na BMW maana yy ndo anaifahamu zaidi familia ya mwl.kuliko hata mama maria, pia usinipe kusu hyo dr.bilali, huyo somebpdy mwinyi. hizi nafac knawahitimu 2011 wa chuo kikuu waliojitokeza kuomba au mliwaomba uzoefu(experience), interview ni lini na n wp ili nione viongoz wng wakiojiwa?
 
Wapi James Millya? wamemchinjia baharini!! Nguvu ya EL inazidi kupukutishwa!
 
Millya kachinjwa afu gambo yule adui wa kambi yake kapitishwa,hawa akina mwinyi na bilal junior pensheni za baba zao walizofisidi haziwatoshi.BAHARIA NA MAKONGORO naungana nao,wazazi wao maskini ya mungu
 
nlikuwa nmesahau ctali profile ya willy maana namjua hadi mzee wake. waliobako naombeni profile zao. nape waweza nsaidia kwa hili.
 
Usultani zanzibar unaendelea!watoto wa bilal,mwinyi etc!wanzanzibar wanawanyima nafasi waislam wa tanzania bara
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom