Majina ya waliokuwa shotlisted tpa

Yani huyu jamaa hata jinsi ya uandishi wa tittle patupu sasa c balaa hilo haya tutafika tu!

post yako na heading are not related at all, jifunze kwanza kuoanisha kichwa cha habari na habari yenyewe then urudi kuuliza!crappppppp!!!!!!!!!!

Duh! kwa mwendo huo, kama wewe ulituma cv ujue hata hawakusoma jina lako.........jifunze kuuliza maswali kabla ya kutaka kujua jibu.

Jawan wapendwa nafanya hivi ili niwape atentn,nauliza wameshatoa majina ya interview?

Mbom bo jilipo.......... Except udom haitaisha......................! No need of antention ila we una dalili za ukilaza

Mbom bo jilipo.......... Except udom haitaisha......................! No need of antention ila we una dalili za ukilaza

mbona hata wewe unaandika visivyoeleweka!!!!!!!!!!!!
unadhani kila mtu ataelewa unachomaanisha. hivyo hakna mkamilifu ni suala la kumuelewa, alitaka kudraw attention yetu na inaonesha ameapologise mtu wangu. come down don b hash!!!!!!!!!

aksante kwa kuita wenzako vilaza,mshukuru Mungu kwa kuumba una akili.naomba yaishe.

Una maanisha kuwa sortlisting imeshafanyika!! binafsi niliomba nafasi hapo na sijasikia chochote na post yako imekaa tenge, kama una taarifa mpya ziweke hapa

Back
Top Bottom