Majina ya waliokosea kujaza bodi ya mkopo

Feb 9, 2013
12
2
Habari za mchana wandugu,

Kuna mdogo wangu kanipigia kaniambia eti kuna majina ya watu waliokosea kujaza yametolewa na bodi ya mkopo. nimetafuta vyakutosha sijayaona. Kama kuna mmoja wetu mwenye taarifa naomba anijuze, just a link will do!

Asanteni
 
topic hiyo yenye hayo majina ilikuwepo hapa jf tangu mwaka jana, kuna wapuuzi waliifufua sasa vijana waliopo jkt wenye simu wakaiona bila kuangalia tarehe ikawapanikisha wote mpaka wengine mtaani, majina bado, yatatoka tu,
 
Nadhani website ya HESLB ni sehemu nzuri sana ya kunconfirm hizi taarifa za aina hii

Ukisikia tetesi na kama unaweza kuingia JF means unaweza pia kupita Loan Board kule ukajiridhisha
 
daah..mwenyew nlsahau kusain ndani..na nipo makini kufuatilia ila taarifa kama hzo sijasikia na kila cku naingia website ya heslb lakn cjaona kama wametoa majina..
 
daah..mwenyew nlsahau kusain ndani..na nipo makini kufuatilia ila taarifa kama hzo sijasikia na kila cku naingia website ya heslb lakn cjaona kama wametoa majina..

Ofcoz bado,coz page ya heslb haina tangazo lolote linalohusiana na hii ishu, so tusuburi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom