Majina ya waliochaguliwa pccb haya hapa

Ahahah.. Mkuu uliweka uhakika nn?

Mkuu vipi unafikia stage ya kujichukia? Maisha bado yanasonga...

Hahahahah hahah unataka kimbilia wapi baab??

Sio kwamba huna vigezo mzee, may be ata barua yako hawakuifugua maana nasikia application zilikua million kadhaa. So, chukulia kama haikua ridhiki.

Mkuu, maisha ya sasa ni wewe na maombi tu ndio vinaweza kukutoa. Kumtegemea binadamu ni ufinyu wa akili mkali wangu.

Tumia "Find in this page" upate uhakika

hahhaha babu ulinunua kazi PCCB? may be kilikua kipimo kama wewe ni unafaa au?

Hapana. Huna haja ya ku-blame juu ya course uliosomea. Tafuta kosa jingine, tuendelee kuapply. Tumetoswa wengi tu mzee.

Ili nalo neno...

Kwanini unasema watu wa Law tupu?
angalia hapo kwenye pdf yao mwanzo tu utaona

SNAG-14011510335200.png
 
Wakuu kuna watu humu wanalalamika lakini huenda baadhi yao huenda wamo ila hawaangalii kiumakini,mfano si kweli kwamba wameita watu wa law tu,watu wa hrm,procurement,accountancy nk wameitwa.Tumia find in a page kama mdau alivyoshauri unaweza kuta umo
 
nishafanya kila kitu katika investigation officer watu kumi nimewaagalia wote ni wa law na pale juu ni wameandika law kwanini waandike hivyo kama hawajachukulliwa watu wa law kama kuna mdau aliyepata investgation officer na hajasoma law aje athibitishe hapa
 
Hamna kazi yoyote wanafanya hawa mapimbi wa pccb. Kila siku ma trafiki wanapokea rushwa barabarani na wanajua. Bora hawa takataka wa pccb wafutwe.
 
Ahahah.. Mkuu uliweka uhakika nn?

Mkuu vipi unafikia stage ya kujichukia? Maisha bado yanasonga...

Hahahahah hahah unataka kimbilia wapi baab??

Sio kwamba huna vigezo mzee, may be ata barua yako hawakuifugua maana nasikia application zilikua million kadhaa. So, chukulia kama haikua ridhiki.

Mkuu, maisha ya sasa ni wewe na maombi tu ndio vinaweza kukutoa. Kumtegemea binadamu ni ufinyu wa akili mkali wangu.

Tumia "Find in this page" upate uhakika

hahhaha babu ulinunua kazi PCCB? may be kilikua kipimo kama wewe ni unafaa au?

Hapana. Huna haja ya ku-blame juu ya course uliosomea. Tafuta kosa jingine, tuendelee kuapply. Tumetoswa wengi tu mzee.

Ili nalo neno...

Kwanini unasema watu wa Law tupu?
Naam, wewe na maombi tuuuu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom