majina ya waliochaguliwa kujiunga na UDSM mwaka wa masomo wa 2013-2014

Kweli mleta mada anashida kama ya chama fulani ambacho kinakurupuka na kuongea bila evidence wala mwelekeo. Hapa anasema amepata taarifa toka kwenye blog www.udsm.ac.tz hii ni blog au website? sijui mnisaidie wataalamu, pili kwa taarifa nilizonazo kesho ndiyo kikao cha senate cha kupitisha majina UDSM sasa sijui mleta mada na wanaomsapoti wanatoa wapi guts za kuleta utani humu!!!.

Nawashauri wote tunaosubiria selections tusubiri TCU watoe majibu maana wao ndiyo wenye mamlaka ya mwisho baada ya kupata taarifa kutoka vyuoni. Pia mwaweza kufuatilia maendeleo ya admissions kwenye CAS kwa kutumia username na password zenu angalia status.
 
Back
Top Bottom