majina ya waliochaguliwa kujiunga na UDSM mwaka wa masomo wa 2013-2014

HOSEA EMANUEL

Member
May 30, 2013
7
0
baada ya kiu ya muda mrefu ya wanafunz waliomba UDSM mwak wa masom 2013-2014 kubaki na bumbwazi huku vilio vikitanda kwa kile kilichosemekana kua idadi kubwa ya waombaji kutolewa nje kwa kukosa vigezo.majna ya waliofanikiwa yap blog ya www.udsm.ac.tz
 
baada ya kiu ya muda mrefu ya wanafunz waliomba UDSM mwak wa masom 2013-2014 kubaki na bumbwazi huku vilio vikitanda kwa kile kilichosemekana kua idadi kubwa ya waombaji kutolewa nje kwa kukosa vigezo.majna ya waliofanikiwa yap blog ya University of Dar es salaam

mkuu mimi mbona nimetembela blog yao hiyo mbona sijaona, naomba unielekeze hayo majina yapo kwenye sehemu gan ndani ya hiyoo blog yao:help:
 
Hili jukwaa linaelekea kupoteza mvuto!! Embu jaman jitahidin kupitia haya majukwaa humu j.f..
1)jukwaa la technolojia
2)jukwaa la intellijensia
Baada ya hapo mtajua namaanisha nini...
Hili jukwaa limekua la mipasho..matusi..na mahojiano na post na thread sizizo na misingi...sasa kama huyu sijui katokea wapi!! Eti blog!! Kwel?? Msomi!!? Hopeless ....
 
mambo ya digital utata kidogo... swala ni kumpa tofauti ya blog, website na wapsite........... najua hakupanga kukosea kwa kuiita blog kitu ambacho ni website
 
hahahahaha thats funny kwakweli....mkuu bora umengetulia, sasa kama na wewe ndio mwanafunzi wa chuo tena kikuu ni hatari
 
baada ya kiu ya muda mrefu ya wanafunz waliomba UDSM mwak wa masom 2013-2014 kubaki na bumbwazi huku vilio vikitanda kwa kile kilichosemekana kua idadi kubwa ya waombaji kutolewa nje kwa kukosa vigezo.majna ya waliofanikiwa yap blog ya www.udsm.ac.tz

Yatupie umu!
 
Hili jukwaa linaelekea
kupoteza mvuto!! Embu jaman jitahidin kupitia haya majukwaa humu j.f..
1)jukwaa la technolojia
2)jukwaa la intellijensia
Baada ya hapo mtajua namaanisha nini...
Hili jukwaa limekua la mipasho..matusi..na mahojiano na post na thread
sizizo na misingi...sasa kama huyu sijui katokea wapi!! Eti blog!!
Kwel?? Msomi!!? Hopeless ....

Mkuu hili jukwaa limekua kama la watu wa chekechea.. Sasa hivi nalipitia mbali maana kila siku post zinazowekwa ni uchafu mtupuu.. Nahis hawajui maana ya GREAT THINKERS
 
baada ya kiu ya muda
mrefu ya wanafunz waliomba UDSM mwak wa masom 2013-2014 kubaki na
bumbwazi huku vilio vikitanda kwa kile kilichosemekana kua idadi kubwa
ya waombaji kutolewa nje kwa kukosa vigezo.majna ya waliofanikiwa yap
blog ya www.udsm.ac.tz

Dogo peleka hizi habari kule jukwaa la utani and Jokes.. Heb jitahid kua great thinkers.. tofautisha JF na FB.. Na hili jukwaa linapitiwa na watu na AKILI ZAO..
Umenichefua sana dogo.. Aaaaarggggh
 
baada ya kiu ya muda mrefu ya wanafunz waliomba UDSM mwak wa masom 2013-2014 kubaki na bumbwazi huku vilio vikitanda kwa kile kilichosemekana kua idadi kubwa ya waombaji kutolewa nje kwa kukosa vigezo.majna ya waliofanikiwa yap blog ya www.udsm.ac.tz

kilazaaa
 
Dogo acha kutania wakubwa. Kwa hiyo siku hizi selection za kwenda vyuoni serikali huwa wanapost kwenye blog...! Ha!
 
Back
Top Bottom