Majina ya mitaa kuwa ya viongozi,vip hii?

Ulimakafu

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
29,038
10,684
Wana JF,kama tunavyofahamu mitaa,barabara,majengo,shule n.k. hasa za serikali zimepewa au kubadilishwa na kupewa majina ya viongozi au watu maarufu.Hii iliibuka zaidi kuanzia miaka ya katikati ya tisini.Inavyoelekea kama tutaendelea na tabia hii miaka mitano ijayo karibu majina mengi ya kumbukumbu yatakuwa yamepewa ya watawala kama:

Makamba
Titi Mohamed
Salma Kikwete
Anna Mkapa
E.Lowassa nk.

Hii imekaaje?
 
Back
Top Bottom