Majina ya Miji ya Marekani hapa Bongo.

Jimjuls

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
484
161
Hapa Bongo kuna majina ya miji ya marekani inatumika kama mitaa duhh.Huku kwetu Arusha tuna Texas,Florida....em wewe tupia ya mtaani kwenu hapa chini....
 
Je ni ufahal gan unaopata kujiita jina la mwenzio? inamana majina ya kwenu yameisha?tyson,obama,bush,clinton
 
Back
Top Bottom