Majina ya makarani wa sensa kata makuburi - ubungo

Kakulwa P

JF-Expert Member
Feb 8, 2012
200
72
Kiambatanisho kinaonyesha zaidi ya majina 50 ya makarani wa sensa kata ya makuburi Jimbo la ubungo yanajirudia. Tunajiuliza inaluwaje jina namba 3 ADELA THOMAS MANKA lionekane tena namba 89 na majina mengine kama mtakavyoyasoma. Mfano jina 4 lipo tena 90, 5 lipo tena 91, 6 lipo tena 93, 7 lipo tena 94. Nimepitia ofisi ya kata asubuhi nikawaona vijana wengi wanalalamika wamepeleka kwa Mwenyekiti wa Mtaa na Diwani wa Kata.
 

Attachments

  • SENSA MAKUBURI.pdf
    5.2 MB · Views: 167
Hiyo ni technique moja wapo ya ku-justify mafungu hayo. Hujasoma Balance sheet weyeee..!
 
Back
Top Bottom