Majina ya kizaramo bana

Majina ya Kiingereza hayo: Kwenye kila jina wewe ongeza mbele yake neno Mr...

Mfano: Mr. Cooper, Mr. Frost, Mr. Goodman n.k

Cooper, Fletcher, Mason, Naylor, Palfreyman - looked after horses, Scrivener, Webster, Snow, Fogg, Rain, Rainbird, Rainbow, Cloud, Goodall, Goodenough, Goodhart, Goodlucke, Goodman, Goodner, Goodwin, Frost, Wind, Goodyear, Bee, Blackadder, Budd, Apple, Garlick, Ginger, Licorish, Marjoram, Orange, Pepper, Salt, Sugar, Woodroofe.Goldsack, Golden, Jewell, Silverstone, Diamond, Ruby, Garnett, Bugg, Bull, Bullock, Calf, Fox, Lamb, Goose & Gosling, Herring, Leafe, Rose, Salmon, Squirell, Trout, Twigge, White.

Eti Bahatisha,. Havijawa, havinitishi, siwazuri. Siajabu, Nifanyeni, mfanyeji. Mkalienimbali, msiba, ziara.kikucha, mkomeni nk kha hivi huwa wanafikiria nini hawa watu?
majina hayo hata kule Tanga kwa Wadigo yapo tele

Mkegani, Sikitu, Siwema etc, haya ni maneno ya kiswahili wanayopewa watoto wa kiswahili. Kama unaujua utamaduni wa Khanga basi hutashangaa na utamaduni wa majina. Unakuta mtu anampatia jina mtoto wake ili kutuma ujumbe kwa hasimu wake. Watu wa pwani hupenda sana kuoa mke zaidi ya mmoja na matokeo yake wakewenza wakimaliza kuvaliana Khanga za mafumbo wanaingia kwenye majina ya watoto. Ni moja kati ya kazi za fasihi

Hapa nakuunga mkono na miguu kwa asilimia 100

Eti Bahatisha,. Havijawa, havinitishi, siwazuri. Siajabu, Nifanyeni, mfanyeji. Mkalienimbali, msiba, ziara.kikucha, mkomeni nk kha hivi huwa wanafikiria nini hawa watu?

Kuna Jamaa yangu anaitwa Edaward Biashara Baridi. So huo ni utamaduni mzuri tuu

wewe king'asti vipi?
unarudia rudia kutania jina la watu..
kwanza Rukia au rukiyaat ni kiarabu sio kiswahili

eti bahatisha,. Havijawa, havinitishi, siwazuri. Siajabu, nifanyeni, mfanyeji. Mkalienimbali, msiba, ziara.kikucha, mkomeni nk kha hivi huwa wanafikiria nini hawa watu?

Ehapendeki; mwanakuja; miesisemi; vYotesawa; kajanAE; kamkzanani........

Wangoni: Komba, nguruwe, Mapunda, Mang'ombe
Wasukuma: Juakali, Saanane, Fungameza, Fungamlango
Wamakonde wao ndio komesha, hawana majina kabisa... unapokuwa rafiki yake ndio atakuuliza wewe unaitwa nani? ukimwambia unaitwa Mwita basi naye atakwambia basi namimi naitwa Mwita!!
kigoma nako sasa...usipime...
ndayizeye, ndalichako, ndadaye, kalimanzila, ndaisaba, nsanzugwanko, ndayabonye, ndikumana, havyalimana, bigilimana, ndayishimiye, ndayikengulukiye...nk...kigoma si mchezo....kama warundi vile?.....

hivi juna mtu anaitwa nifanyeni???????

mhhhh

msinune,

zanzibar kuna haji m.atako.....true story

nifanyeni yupo mkuu alikuwa mwanafunzi wangu na watu wakamfanya kweli akakatisha masomo

Mkegani, Sikitu, Siwema etc, haya ni maneno ya kiswahili wanayopewa watoto wa kiswahili. Kama unaujua utamaduni wa Khanga basi hutashangaa na utamaduni wa majina. Unakuta mtu anampatia jina mtoto wake ili kutuma ujumbe kwa hasimu wake. Watu wa pwani hupenda sana kuoa mke zaidi ya mmoja na matokeo yake wakewenza wakimaliza kuvaliana Khanga za mafumbo wanaingia kwenye majina ya watoto. Ni moja kati ya kazi za fasihi

nakubaliana nawe mkuu

Back
Top Bottom