Duuh, inatosha kaka...Kokwijuka,Mutongole,Kokuberwa,Kanule,Kokubanza,Kokunywegera,Kemilembe,Kabanza,Mukatanagi,Genyana,Mukanyiginya,Katangi,Kokuangalira,Kokukushubira,Sima,Mukaire,Mamerita,Kanule,Mbandwa,Kashubi,Shubira,Ngonzi,Byera,Kanweri, eh kazi kwako ndugu.
Utakuwa akili haina akili kama unategemea jina kutoka JF kwani majina ya watoto hutokana na na matukio au kitu kinachofanana na hapo!Hapana mkuu....Hukumtendea haki.........Kwa jinsi nilivomuelewa japo kwa uchache ni kama kapata binti(mtoto wa kike0 na anategemea kumpatia jina lenye asili ya kihaya(lisilo anza na Koku0 so kaja hapa kuwaomba wadau(ukiwemo wewe mumsaidie kumchagulia jina kwa ajili ya binti yake huyo..........................Soma katikati ya msitari utamuelewa
,:hug:Mukaabakama, Kalikwera, kabaza, abela, byera, mukalugonzibwa, alinda, agonza, mukelelanwa, siima, gonza
hahahhaa.kokunyegeza
Huyo alikua ni mdada tena mzuri sana tulikua tunafanya nae kaz ....alikua akiitwa hilo jina ..japo ulikua ukimuuliza jina lake anakutajia tu anaitwa kokuhahahhaa
hahahah mi najua koku=kokunuraHuyo alikua ni mdada tena mzuri sana tulikua tunafanya nae kaz ....alikua akiitwa hilo jina ..japo ulikua ukimuuliza jina lake anakutajia tu anaitwa koku
Kokunyegeza maana yake mkarimu Kwa wageni.Huyo alikua ni mdada tena mzuri sana tulikua tunafanya nae kaz ....alikua akiitwa hilo jina ..japo ulikua ukimuuliza jina lake anakutajia tu anaitwa koku