Majina ya Kichaga

Mh, uku nimeingia siko manake hizo mofimu zinazotumika nahisi kudata!?!?!**:eyebrows:*!?
 
Huwa hawasemi Mboro na kuishia hapo.Wanasema Mboro ya Womi.Wakimaanisha Ukoo wa Wanaume
 
Nani amekwambia wanaona aibu.Aibu unaiona wewe usiejua maana ya jina Mboro.Mimi ni Mboro and Im proud.
 
Mkaleso
Mkashai
Ruaichi
ngeleshi
makimboka
Aikunda
nsiande
ksobori
mamdeny

Yaan hawa wachagga noma ndiz mbivu wanasema Makundu. nilikuwa mosh siku c nyingi kuna jiran alikuwa anamwita mmama mmoja hivi /mamboro dah nlishangaa sana
 
Last edited by a moderator:
KAWICHE. Wengi wanashindwa kutofautisha hli jna na kuita KAVICHE!
Aisee huwa nachukiaa
 
Mambo,
Kiwesa,
Sawe,
Ndosa,
Kimaro,
Kimario,
Noelia,
Ikunda,
Nkya,
Ndesamburo,
Minja,
Marangu,
Moleli
 
Back
Top Bottom