Majina ya katikati ya kizungu ya Wachagga!

sisi kwetu kuna siwema,majaliwa,shida,tabu,masumbuko,maua,zawadi,tunu,baraka,jumanne,tumaini,sikitu,mwanana,nuru,halmashauri,sikujua,sikudhani,matatizo,cheche,na mengine kibao..lkn nashangaa tumeyaacha tunatumia ya wenzetu
 
Precious, Mercy, Hope, Faith, Grace, Goodluck, Brightson, Colin, Amy. Wachaga wapo juu sana mimi nawakubali, kila kitu wanajitahidi, unakuta mzazi hata ku-sound jina la mtoto ni ngumu ila mtoto ana jina la kizungu.
 
hawa jamaa wanapenda majina ya kizungu sababu yana swaga sasa ww umwite mwanao gwandumi gwaselya we unadhani akiwa mkubwa atalipenda?
 
Back
Top Bottom