Majina ya graduates waliochaguliwa kujiunga na Polisi mwaka 2012

Status
Not open for further replies.
Duuh! Nimeanza vibaya katika safar yangu ya kuomba kaz ndo ilikuwa kazi ya kwanza kuomba na nimetupiliwa mbali ila nawatakia kila la heri mliofanikiwa kuitwa

Soma post ni ya lini na wewe usije ukajitia kitanzi bureeee! Post ya mwaka juzi hii sijui hata nani kaifufua!
 
Duuh! Kumbe hii thread ni ya zaman maana kuna wenzangu kama kumi hiv tuliomba alafu kwenye hii list hatumo nikajiulza inawezekana kweli tukakosa woot
 
Soma post ni ya lini na wewe usije ukajitia kitanzi bureeee! Post ya mwaka juzi hii sijui hata nani kaifufua!

Samahanini Jaman kwa kuwaweka presha ni mi nimeifufua ila kwa nia njema 2 tulipoishia kucoments mara ya mwisho na wenzangu, ayo yalikua ni majina bada ya usaili 2012, hi inaonesha ni jinsi gan tunamzuka sana hata mi mwenyewe 2endelee kusubir
 
Msipotoshane jamani...majina bado. Mtaitwa tu before 15 December. Nikawaida JKT,Form IV na VI kutangulia wiki atmost 3 kabla ya Diploma na Degree kwenda. Ombeni tu mpite kwenye interview yenyewe. Hayo ni majona ya diploma na degree 2012...
 
Vipi kuhusu idadi mkuu ndo inakuaga kiduchu hivi hivi (208) au inabadilikaga?
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom