Majina ya bar

Mtakuja bar,Dodoma.
Chako ni chako,Dodoma.

maeneo ya eapoti hayo,,,,dah ukiitaja chako ni chako nakumbuka dodoma,,,,ila pembeni kuna mtukwao guest haous,,,,,
ukienda area c kuna kwa mpepo,,,then maeneo ya makole kuna OMAX BAR,MACHAME BAR,CLUB LA-AZIZ,THEN EQUATOR BAR EAPOT,KIRAENI,MIAMI BAR EAPOT,
 
yani ilikuwa baada ya kazi jioni lazima tupitie hapo na kila nikifika dodoma lazima niende chako ni chako kuku wetu wa kienyeji na dompo wine. acha kabisa
sister.Hiyo chako ni chako bar ina tazamana na satarday bar.
Huwa zina wachanganya watu maarufu sasa ni sat bar lakini watu wanaita chako ni chako bar.
 
Last edited by a moderator:
sister.Hiyo chako ni chako bar ina tazamana na satarday bar.
Huwa zina wachanganya watu maarufu sasa ni sat bar lakini watu wanaita chako ni chako bar.

nadhan ni kwa ajili ya jina la kiingereza
 
Last edited by a moderator:
Kwa neema ya mungu bar & guest house iko Nzega.

Utamu upo bar iko Keko.
 
Jina lingine jamaa wa Kigoma ananiambia la Bar hii ni CHINI YA MUTI" Watu wa kigoma wenyewe wanaijua hivyo"
 
If Not Why Not (igoma - Mwanza) Billionear Club, bia mchezo, maarufu kama kwa Adriani(mitaa ya Delux - Mwanza).
 
skyway bar
mahotto bar
limpala bar
hill side bar
zipo rombo mashati hizo xmass usipime zinavyojaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom