Majina ya Bar bwana..

Mimtamu

JF-Expert Member
Jan 27, 2012
368
105
Huku Ubungo kuna kabaa kanaitwa Mat*ko Bar. Sifa ya baa hii, kila bar maid lazima awe na makalio makubwa..
Hebu nipeni majina mengine na sifa zake
 
"Shikamoo" bar. Halafu ya pembeni yake "Marahaba" bar. Sinza hapo!
 
Mke wangu bar then pembeni kidogo nyuma ya nyumba ya mzee kuliunga karibu na nyumba ya kulala wenyeji ipo hii NAKUJA MME WANGU BAR
 
Hiyo hata mat*ko bar hata sehemu kinondoni ipo sifa ni zile zile. Halafu pale makumbusho kuna bar moja inaitwa simba kapakatwa
 
Simba kapakatwa.. mmh kuna namna hapa, mmiliki yanga nini?
 
Hiyo hata mat*ko bar hata sehemu kinondoni ipo sifa ni zile zile. Halafu pale makumbusho kuna bar moja inaitwa simba kapakatwa

Halafu chakushangaza mmiliki wake ni mdada ila yupo flat vibaya
 
Back
Top Bottom