Wadau wan jf, kulikuwa habari kuwa majina ya ajira mpya za walimu yangebandikwa leo j5. Mimi nilijua ni kwenye websites husika. Lakini mpaka sasa hakuna. Mbali na kupigika kitaa, tungepende kuona majina yetu mapema tuanze kuomba nauli za kwenda huko sitimbi. Tupeane taarifa wadau. Naomba kuwasilisha.