Majina ya ajabu JF

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
siku za karibuni kumekuwa na majina ya ajabu sana hapa JF na yanayofurahisha au kuchekesha...kama Nipigie;chapa nalo..via mobile .tzjamani, kaalamoto, 3D .mchekechoni, drphone,mtembeapeku lol! na mengine kibao ya kufurahisha
 
Sijui watu wenyewe watakuwa wanafananaje inabid siku moja wana JF tuwe tunakutana hata X moja kwa mwaka. Maana majina mengine yanaweza kuwa yanareflect jins walivyo...te tehe tehe tehe....ila la maria nimelipenda....
 
Klorokwini,
Quinine,
Asprin,
Acid
 
Klorokwini,
Quinine,
Asprin,
Acid

hawa watakuwa wanasoma medicine au ni madaktari au ma nesi au wanaumwa umwa maleria .. Ila i hope wote ni madaktari. SI UNAMUONA KAMANDA WANGU MZIZI MKAVU?yule jamaa GOD bless him kanisaidia sana..it means haya majina yana maana zake. Kama mtu anaitwa 3D hahah!! Atakuwa ndio katoka kinotheatre
 
Sijui watu wenyewe watakuwa wanafananaje inabid siku moja wana JF tuwe tunakutana hata X moja kwa mwaka. Maana majina mengine yanaweza kuwa yanareflect jins walivyo...te tehe tehe tehe....ila la maria nimelipenda....

Asante kwa kulipenda jina la Maria nae analipenda Semmy Samson:wink2:
 
Back
Top Bottom