Majina ya aina za magari kutumika kwenye Viburudisho!?

Wilbert1974

JF-Expert Member
Feb 10, 2011
1,632
478
:yo:Bosi alikuwa safari ya kikazi sehemu fulani. Akaamua kuchukua chumba kwa muhudumu wa gesti ili aweze kumpumzika na uchovu wa safari.

Bosi: Anamuuliza muhudu… Hapa naweza kupata kiburudisho?
Muhudumu: Bosi hapa viburudisho aka ving’amuzi huwa vinaitwa kwa majina ya aina za magari!
Bosi: Akafikiria na akamwambia muhudumu… sawa! Niitie BENZ
Muhudumu: Oooh bosi; Benz limetoka muda si mrefu! Lilobaki sasa ni VOXY WAGON tu la zamani…
Bosi: Poa. Niitie hilo hilo V/W sasa…
Muhudumu: Fasta fasta akalipigia njemba moja akalielekeza moja kwa moja chumbani kwa Bosi.
Bosi: Aaah we muhudumu mjinga nini? Kwa nini umeniletea hili bwabwa/shoga?
Muhudumu: Bosi wangu hilo ndo VOXY WAGON kwani engine yake ipo nyuma…
:nono: Tchao Tchao Tchao! :croc:

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom