Majina tunayopewa mara nyingi hutadhiri.

Joblube

JF-Expert Member
Mar 4, 2011
369
151
Wana JF

Nimetafakari kwa undani msemo unaosemwa na wengi kuwa tuwe makini na majini tunayowapa au kupewa na wazazi wetu kwani huwa yana madhara fulani.
Mfano Jina Tabu-muhusika huwa ni mtu wa tabu tupu
Shida-Huwa na shida nyingi sana
Matatizo- huwa na matatizo
Lipumba-Hutoa pumba nyingi mfano Prof Lipumba na
hotuba zake za kuiponda CDM badala ya CCM
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom