Majina na Tabia zake

Hivi Mwaikimba anaweza kuwa na tabia gani?...

Na Nyakituri je?
 
Slaa mara nyngi huwa majina ya wazinifu na wapenda kuchukua wake za watu

Mbowe mara nyingi huwa wavuta bangi na kuwa watu wenye hasira na madikteta

Lissu mara nyingi huwa wachonganishi na kuwa na tabia za kike

Mtu wa Pwani nimekupa big up naona umefanya utafiti wa hali ya juu, ila ukweli umenichekesha kiasi chake. Its very nice
 
Andrew-wapole ila wana msimamo na maamuzi yao,hawashauriki
Alex-viherehere,wakorofi na waongeaji! Usibishane nao
Deo-matapeli,waongo na wanafki.Machoni wapole
Richard-wachafu na wanapenda ngono balaa
 
Eve/ Hawa = waongo, washawishi, watafuta huruma, wanajipendekeza! sijajua akina Salma!!

akina salma kwa kuangalia kwenye maslahi hawajambo. pia ni wanafiki mafarisayo nyuma wanaweza kukusaidia halafu akakutangaza..... au akaanzisha kitu kwa malengo ya kusaidia kumbe hana lake jambo
halafu wengi ni matapeli......
 
Andrew-wapole ila wana msimamo na maamuzi yao,hawashauriki
Alex-viherehere,wakorofi na waongeaji! Usibishane nao
Deo-matapeli,waongo na wanafki.Machoni wapole
Richard-wachafu na wanapenda ngono balaa

wakina Fredy je....
 
Majina ya Jakaya huwa wanapenda sana wanawake[/QUOTE]

halafu kwa kutabasamu kinafiki hawajambo....wanatasamu hata kwenye misiba hawanaga sura za masikitiko....in short they are very beautiful....
 
Baba mwenye nyumba wangu anaitwa david ni mtu mzima sana ila ni penda penda ila kinoma!, basi my kid huwa anamwita babu sasa anakaa na binti mdogo mdogo basi huyo mzee huwa anamwambia kid wangu amwita hy binti bibi kid wangu anamzingua david anamwambia huyu ni aunt sio bibi! Mleta mada Bravo, yaani upo mule mule david ni penda penda!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom