Majina na Anwani za wabunge

Hosida

Member
Oct 21, 2008
71
12
Wadau wana JF,

Habari za majukumu. Naomba mwenye list nzima na anwani ya Wabunge wa Jamhuri ya Muungano kwa 2011 anisaidie. Nina shida nazo sana.

Asante
 
Asante ila Nimeingia huko kuna majina, majimbo na vyama vyao tu hakuna address zao
 
Wasiliana na ofisi za Bunge, i guess utapata msaada unaouhitaji kwa urahisi.
 
what do u want it for?hawana msaada or time na mtu mpaka muda wa kampeni au kama unataka kuwapromote,anyway kuna kitabu cha list ya wabunge na namba zao za simu,nilikuwa nacho cha mwaka juzi,
nenda ofisi za bunge utapata cha zamani sidhani kama kipya kimeshatoka
 
Back
Top Bottom