Majimbo ya Dar Es Salaam kuwaka moto 2015.....je kwa list hii amani itadumu?

Benno Malisa yupi?, Makamu M/Kiti UVCCM au Mwingine?! Yawezekama watu wanafanana majina ila vyama tofauti kama ile kesi ya ya W. Slaa wa CDM na ccm! Tafadhari weka maelezo sawa.

Haya sasa, matokeo ya hisia za kupitiliza labda arudie ku-edit hapo sehemu chadema aweke ccm
 
Hoja zako zaonekana kana kwamba ni hisia binafsi kutoka kwako na wala si mikakati ya ulowataja!!
Je ni sahihi watu kujiandaa kugombea mwaka mmoja tu baada ya kutoka kwenye uchaguzi mkuu?Jimbo la Dar Es Salaam linaongoza kwa kuwa na orodha ndefu ya watu,vijana wanaotaka kuingia mjengoni.Je,mbio hizi zitatuvusha Salama?

1) Jimbo la ukonga linaongoza kwa kupaniwa na wengi akiwemo Julius mtatiro(CUF),Mbarouk Hemed(CUF),Rachel Mashishanga (chadema),John heche (Chadema), Machibya(Chadema),Mwita Magesa (Chadema), Michael P Aweda(Chadema),Eugene mwaiposa (CCM),Martin Shigela(CCM),kuna dada mmoja anafanya kazi Serengeti breweries pia yuko mbioni

2)Ubungo : John Mnyika(Chadema),Nape Nnauye(CCM), mhando wa Tanesco (CCM),Ruge wa Clauds(CCM),Esther bulaya(CCM)

3)Segerea: Fred mpendazoe(Chadema), Makongoro Mahanga (CCM), Ben Saanane(Chadema),Benno Malisa(Chadema),Nape nnauye(CCM),Mtatiro Julius (CUF)

4)Kigamboni: Mtatiro Julius Cuf (huyu anajiandaa huku zaidi tena kwa hali na mali), Mwantumu Maulid(CUF),Anna komu (chadema), na msaniii mmoja wa bongofleva

5)Temeke: Dickson Ng’hly wa chadema,Mtemvu wa CCM, Gaudensi owaya wa chadema,Didas Massaburi anajiandaa kupitia CCM

6)Kinondoni :Ben Saanane (chadema),Shy-Rose (CCM),Nape Nnauye (CCM),Idd Azan (CCM),Suzan Lymo(Chadema),Issa mlela(bongo movie),Mwita Magesa (CCM),Martine Shigela(CCM),Baraka kange(CCM)

Ilala kuna Jerry slaa(CCM),na wengine sijapata majina yao na kawe naendelea kutafuta .Tunageuka kuwa taifa la uchaguzi sasa.Nape na Shigela nawatakia kila la heri,naomba Muingie mjengoni mkadhibiti hali ya Mambo kama mlivyoweza kuwadhibiti huku nje.Chadema kazi kwenu,subirini chamoto mtakiona ilimradi msimwage damu tu kwa sababu kuna ambao hapo nawafahamu kwenye uchaguzi hapo huwa hawakubali kushindwa
 
Hizi kweli za mtaani. Kwani kuna chama cha siasa kinaitwa bongo muvi? Haya mlela karibu na bongo muvi yako!
 
Si ndiyo kazi ya magwanda?uchaguzi na maandamano.Chadema mnahitaji kujipanga sana tu

Wewe huna tofauti na Bata kuharisha ndo point zako, umewataja waliojiandaa ni pamoja na Nape, Mahanga, Mtatilo, Bulaya, Malisa, Masaburi, Mwaiposa, Hemedi, Shigellah na wengine wa Cuf, nk. Sasa unapo sema ndo kazi ya CDM una maana ipi wakati uliowataja ni CCM, wake zao na makuadi wao? Kwanza habari yenyewe ni mtazamo wako baada ya kunywa kahawa ya kununuliwa! Aibu tupu bata wewe!
 
john heche huyu aachwe agombee TARIME akomboe lile jimbo kutoka kwa yule jamaa wa magamba yule jamaa wa magamba anadhalilisha utu wa wale wakazi apewe jembe kama heche
 
Naamini Michael Aweda ambaye ni mjumbe wa baraza kuu Taifa na mkiti wa ukonga atapitishwa na Chadema, kwa kuwa amefanya mengi ktk muda mfupi, ila akikutana na Julius mtatiro wa CUF sina hakika kama atashinda ubunge, itakuwa haina uhakika.
 
Naamini Michael Aweda ambaye ni mjumbe wa baraza kuu Taifa na mkiti wa ukonga atapitishwa na Chadema, kwa kuwa amefanya mengi ktk muda mfupi, ila akikutana na Julius mtatiro wa CUF sina hakika kama atashinda ubunge, itakuwa haina uhakika.
 
Je ni sahihi watu kujiandaa kugombea mwaka mmoja tu baada ya kutoka kwenye uchaguzi mkuu?Jimbo la Dar Es Salaam linaongoza kwa kuwa na orodha ndefu ya watu,vijana wanaotaka kuingia mjengoni.Je,mbio hizi zitatuvusha Salama?

1) Jimbo la ukonga linaongoza kwa kupaniwa na wengi akiwemo Julius mtatiro(CUF),Mbarouk Hemed(CUF),Rachel Mashishanga (chadema),John heche (Chadema), Machibya(Chadema),Mwita Magesa (Chadema), Michael P Aweda(Chadema),Eugene mwaiposa (CCM),Martin Shigela(CCM),kuna dada mmoja anafanya kazi Serengeti breweries pia yuko mbioni

2)Ubungo : John Mnyika(Chadema),Nape Nnauye(CCM), mhando wa Tanesco (CCM),Ruge wa Clauds(CCM),Esther bulaya(CCM)

3)Segerea: Fred mpendazoe(Chadema), Makongoro Mahanga (CCM), Ben Saanane(Chadema),Benno Malisa(Chadema),Nape nnauye(CCM),Mtatiro Julius (CUF)

4)Kigamboni: Mtatiro Julius Cuf (huyu anajiandaa huku zaidi tena kwa hali na mali), Mwantumu Maulid(CUF),Anna komu (chadema), na msaniii mmoja wa bongofleva

5)Temeke: Dickson Ng’hly wa chadema,Mtemvu wa CCM, Gaudensi owaya wa chadema,Didas Massaburi anajiandaa kupitia CCM

6)Kinondoni :Ben Saanane (chadema),Shy-Rose (CCM),Nape Nnauye (CCM),Idd Azan (CCM),Suzan Lymo(Chadema),Issa mlela(bongo movie),Mwita Magesa (CCM),Martine Shigela(CCM),Baraka kange(CCM)

Ilala kuna Jerry slaa(CCM),na wengine sijapata majina yao na kawe naendelea kutafuta .Tunageuka kuwa taifa la uchaguzi sasa.Nape na Shigela nawatakia kila la heri,naomba Muingie mjengoni mkadhibiti hali ya Mambo kama mlivyoweza kuwadhibiti huku nje.Chadema kazi kwenu,subirini chamoto mtakiona ilimradi msimwage damu tu kwa sababu kuna ambao hapo nawafahamu kwenye uchaguzi hapo huwa hawakubali kushindwa

hapo kwenye nyekundu kumbe kuna mtu anataka kugombea vyama viwili tofauti katika majmbo mawili, kila jimbo chama kingine.
hongera mwita magesa
 
Je ni sahihi watu kujiandaa kugombea mwaka mmoja tu baada ya kutoka kwenye uchaguzi mkuu?Jimbo la Dar Es Salaam linaongoza kwa kuwa na orodha ndefu ya watu,vijana wanaotaka kuingia mjengoni.Je,mbio hizi zitatuvusha Salama?

1) Jimbo la ukonga linaongoza kwa kupaniwa na wengi akiwemo Julius mtatiro(CUF),Mbarouk Hemed(CUF),Rachel Mashishanga (chadema),John heche (Chadema), Machibya(Chadema),Mwita Magesa (Chadema), Michael P Aweda(Chadema),Eugene mwaiposa (CCM),Martin Shigela(CCM),kuna dada mmoja anafanya kazi Serengeti breweries pia yuko mbioni

2)Ubungo : John Mnyika(Chadema),Nape Nnauye(CCM), mhando wa Tanesco (CCM),Ruge wa Clauds(CCM),Esther bulaya(CCM)

3)Segerea: Fred mpendazoe(Chadema), Makongoro Mahanga (CCM), Ben Saanane(Chadema),Benno Malisa(Chadema),Nape nnauye(CCM),Mtatiro Julius (CUF)

4)Kigamboni: Mtatiro Julius Cuf (huyu anajiandaa huku zaidi tena kwa hali na mali), Mwantumu Maulid(CUF),Anna komu (chadema), na msaniii mmoja wa bongofleva

5)Temeke: Dickson Ng'hly wa chadema,Mtemvu wa CCM, Gaudensi owaya wa chadema,Didas Massaburi anajiandaa kupitia CCM

6)Kinondoni :Ben Saanane (chadema),Shy-Rose (CCM),Nape Nnauye (CCM),Idd Azan (CCM),Suzan Lymo(Chadema),Issa mlela(bongo movie),Mwita Magesa (CCM),Martine Shigela(CCM),Baraka kange(CCM)

Ilala kuna Jerry slaa(CCM),na wengine sijapata majina yao na kawe naendelea kutafuta .Tunageuka kuwa taifa la uchaguzi sasa.Nape na Shigela nawatakia kila la heri,naomba Muingie mjengoni mkadhibiti hali ya Mambo kama mlivyoweza kuwadhibiti huku nje.Chadema kazi kwenu,subirini chamoto mtakiona ilimradi msimwage damu tu kwa sababu kuna ambao hapo nawafahamu kwenye uchaguzi hapo huwa hawakubali kushindwa

Nuclear1,

Sijui haya umeyapata wapi.................! Kumbe inaruhusiwa kugombea majimbo mawili?Thanks for your interest.

NB: Waombe Radhi watu wa Dar Es Salaam kwamba hawataki hoja? Umeshau Mlipoteza jimbo la Ubungo kutokana na hoja nzito za john mnyika,Kawe kwa Halima Mdee na bado historia inaonyesha Watu wa Dar walichagua hoja za akina mabere Marando na Lamwai mwaka 1998 kule Temeke dhidi ya Ghiliba za akina Mkapa na serikali yake.

The subject at stake is not healthy anyways!
 
Haya ni mawazo yangu.kwanza wewe ni mmoja wao ambaye hapendi kushindwa uchaguzi,nitawaambia green Guards wachukue tahadhari na wewe.najua aina ya siasa zako vyuo vikuu na baraza la vijana ndani ya chama chenu ulivyozipeleka.saizi yako ni nape tu hutapata nafasi ya kufanya uharamia wenu mliomfanyia india na genge lenu
 
Back
Top Bottom