Elections 2010 Majimbo waliyoshinda CCM

humu naona kuna wazushu wengi, kuna baadhi ya majimbo yanaonekana yamechukuliwa na vyama viwili tofauti, kama huna data bora ukae kimya au ziite tetesi.
 
Kyela
Rungwe Mashariki
Rungwe Magharibi
Ileje

Acha kutudanganya majimbo mawili ya Rungwe hakukua na uchaguzi wa ubunge kwani walijipitisha bila kupingwa . Ila Rungwe Mashaliki karibu vituo vyote Dr slaa ameongoza kwa mbali sana dhidi ya jk.
 
Ina maanisha Slaa ana piga indicator ya kushoto paleeeeee Ocean road anakaribia kufika kule ikulu mmmm swaaaafwiiii
 
Acha kutudanganya majimbo mawili ya Rungwe hakukua na uchaguzi wa ubunge kwani walijipitisha bila kupingwa . Ila Rungwe Mashaliki karibu vituo vyote Dr slaa ameongoza kwa mbali sana dhidi ya jk.

Mkuu,

Nashindwa kukuelewa sijui una maana gani hapo juu? Mtu aliyepita bila kupingwa hajashinda?

Rungwe Mashariki Slaa alikuwa anaongoza vituo vya mjini, nina uhakika matokeo ya vijijini yakithibitishwa JK atashinda hiyo wilaya pia kwenye urais.

Kazi ilikuwa Kyela lakini kama kashinda huko kwa asilimia kubwa nina uhakika Kyela, Rungwe na Ileje JK atapata kura nyingi kuliko Slaa.
 
Nani awe fair?Kama una habari za CCM kushinda jimbo fulani weka data hapa jukwaani.!
 
jamaangu unataka majimbo ya ushindi ya ssm wakati unajua wakiongoza tu hatua za awali wanaandika ktk magazeti? kama hujui soma gazeti la Jambo Leo juu ya kituo cha msoga. ccm wamepata ushindi wa kishindo wa kura 54 dhid ya 6 za chdema. upo hapo?
sisi tuna taka mabadiliko
 
Back
Top Bottom