Majimarefu wataje?

hivi alipitaje ubunge.?? alichaguliwa au aliteuliwa...ni chama gani huyo jamaa. Ama kweli walioanzisha shule waliona mbali.!..Nini.??.eti hakuna mtu maarufu Tz kama huyo sijui nani,."profesa""!!??? maji yepi mpiga ramli.?? ana maanisha..mi ndo kwanza jana nimemuona, nlikuwa namckia tu...maskini ya Mungu bunge letu..!!

Moja ya sababu zinazoiuwa CCM ndio hizo wabunge wake hawana lolote na akili za kupiga handle.
 
Mara nyingine huwa siwaelewi wananchi huwa wana maana gani kutuletea mwakilishi kama Maji marefu. Yaani hajui kilichomleta hapo mjengoni
 
laitani mngelijua kama huyu majimarefu ni mtu wa namna gani, wala asinge waumiza vichwa.....wilaya ya korogwe kuna sehemu inaitwa kilole,karibu na kituo cha tanesco kuna mama mmoja anaitwa mama-maria alikuwa anafanya biashara ya mamantilie,huyu maji marefu na jamaa mmoja anaitwa rama kibonge walikula na kumkimbia huyu mama maria...sasa mnategemea ataongea nini bungeni?

nimecheka mbaka basi
 
Mara nyingine huwa siwaelewi wananchi huwa wana maana gani kutuletea mwakilishi kama Maji marefu. Yaani hajui kilichomleta hapo mjengoni
 
MASKINI THE WICHI THE DOCTA ALIONA MDOMO UTATOA HARUFU KWA KUKAA KIMYA MUDA MREFUUU ! MBONA YULE WA CUF MH.......... HAMIS , ALIPOAMBIWA AMTAJE WAZIRI ANAYEISHI HOTELINI NA FAMILIA YAKE ALIMTAJA NAHODHA ??? ILA MTOTO MILIONEA WA MPANDA aka MTOTO WA KULIMA KAIZIMA ISSUE ! The MAGAMBAZ SOMETIMES , MNAHAMU YA KUCHEFUA WATUUU ! AAAAAAGH , MSIMU WA NDIMU BADO !
 
awataje?
Kama watamruhusu kuingia ukumbini na tunguli zake atawataja. Maana hili ni suala la uaguzi, linahitaji kupandisha mzuka ili kuwakumbuka.
.
 
Jana katika kikao cha bunge jioni Mbunge wa korogwe Prof. Maji marefu alisema anayo majina ya wabunge wanaosign na kuchukua posho kutoka mashirika mengine na wakifika bungeni wanadai hawataki posho.. alipoambiwa mwenyekiti wa bunge amsimamishe na awataje akasema asubiri kwanza. Hivi bunge ni la kusema uongo na mtu akatetewa? nilifikiri kama ni Zito amesema hivyo angeambiwa awataje maramoja.....Jamani awataje basi
darasa la saba jamani muoneeni huruma hajui asemalo
 
Bunge la Tanzania kweli vituko mganga wa kienyeji naye mmbunge..huyu sasa atachangianini...witch doctor huyo.
 
hivi alipitaje ubunge.?? alichaguliwa au aliteuliwa...ni chama gani huyo jamaa. Ama kweli walioanzisha shule waliona mbali.!..Nini.??.eti hakuna mtu maarufu Tz kama huyo sijui nani,."profesa""!!??? maji yepi mpiga ramli.?? ana maanisha..mi ndo kwanza jana nimemuona, nlikuwa namckia tu...maskini ya Mungu bunge letu..!!

Huyo ni mganga wa nguvu za kiume na wateja wake wakuu ni JK na Makamba Sr.Kwa hiyo aliwasaidia ndo wakamlipa fadhila jimbo la Korogwe Vijijini wakamtosa Joel Bendera.Elimu yake ni EWW(Elimu ya watu Wazima chini ya mti)
 
Jana katika kikao cha bunge jioni Mbunge wa korogwe Prof. Maji marefu alisema anayo majina ya wabunge wanaosign na kuchukua posho kutoka mashirika mengine na wakifika bungeni wanadai hawataki posho.. alipoambiwa mwenyekiti wa bunge amsimamishe na awataje akasema asubiri kwanza. Hivi bunge ni la kusema uongo na mtu akatetewa? nilifikiri kama ni Zito amesema hivyo angeambiwa awataje maramoja.....Jamani awataje basi

Hana ushahidi huyo alikuwa anataka kuwatukana Chadema tu .Wazushi CCM wewe mh all in all posho tunakomaa nazo hata kama wamesha saini huko nyuma si sasa .
 
Back
Top Bottom