Elections 2010 Majiji ya Tanzania yaangukia mikononi mwa CHADEMA

Bobuk

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
5,870
3,270
Kutokana na matokeo yaliyotangazwa na NEC hadi sasa majiji ya Tanzania yamekombolewa na CHADEMA majiji hayo ni
Mwanza City (Nyamagana) Ezekiel Wenje
Arusha Godbless Lema
Mbeya Joseph Mbilinyi

Je nini matokeo ya jiji moja lililobaki Dar es Salaam kwa maana jimbo la Ilala. Wakazi wa Dar es Salaam wameendelea kuwaangusha Watanzania. DSM ambayo wakazi wake wana taarifa/habari kuliko huenda wakazi wengine wote wa nchi hii, hivyo walitegemewa kuwa chachu ya mabadiliko ya nchi hii wameendelea kuwaangusha watanzania kwa kuichagua CCM ambayo inawakilisha ufisadi badala ya kuchangua uadilifu (CHADEMA).

Mageuzi yote duniani huanzia capital city na kuenea sehemu zingine za nchi. Lakini wakazi wa DSM kushindwa kufanya hivyo hamukuwatendea kabisa HAKI wananchi wa Tanzania. Hongereni sana wakazi wa majiji ya Mwanza, Arusha na Mbeya. Mungu yuko pamoja nasi.
 
tatizo la dar ni udini...

si udini ndugu yangu wahindi ilala ni wengi sikujua siku ya kupiga kura nilipita upanga, kariakoo, katikati ya mji wako tele na vibibi na mikongojo hawana uchungu na nchi hii wao ni kuangalia maslai yao tu
 
Ilitakiwa vichekiwe uraia hivyo!!!!
 
nadhani Ilala kama huifahamu ntakufahamisha kidgo..Asilimia kubwa ya wakazi wake ni wenye asili ya kiasia, kiarabu, kingazija, kimanyema na kikongo, usitegemee CCM kuangushwa. Pili, watumishi/mafisad wenye kunufaika na CCM maeneo ya Muhi2, Upanga, City Centre na kwengineko hawawez kuibwaga CCM. Mwisho, Ofisi za Mafisadi na benki wanazo2mia kuibia nchi hii zipo Ilala, kwa hili uctegemee Chadema kushinda
 
Mkuu correct me if Im wrong, CCM wameshindwa takriban ktk kila makao makuu ya miji... tatizo kubwa ni uchakachuaji unaofanywa na hawa makada wa ccm...
 
Tatizo la Dar ni udini...

Na uswahiba, Ushabiki, Khanga za njano, elimu duni. Angalia kama Kawe, Segerea na Ubungo ambako watu wanaweza tafakari kabla ya kutenda kuna mabadiliko. Huko watu wamesoma shule za Elimu dunia.:yield:
 
Umenifurahisha sana, its very true kwamba elimu duni ndo itafanya hayo majimbo yachukuliwe na ccm milele, ushahidi angalia watu wanaoishi jimbo la kawe na ubungo utapata jibu. Hivi kwa nini lakini hii mijiafrika inakuwa hivi? Unajua mzungu hata kama hajasoma ana upeo wa mbali si kama hizi ngozi zetu nyeusi? Yaani ndo naamini maskini amelaaniwa hata kwa mungu. Am very sorry to say this kwani hata mimi ni masikini wa mali lakini tajiri wa akili. Peoplesssss powerrrrrrrrrrrrrrrrr

Na uswahiba, Ushabiki, Khanga za njano, elimu duni. Angalia kama Kawe, Segerea na Ubungo ambako watu wanaweza tafakari kabla ya kutenda kuna mabadiliko. Huko watu wamesoma shule za Elimu dunia.:yield:
 
Chuki tu ndo imetawala na udini, anywayz hawa wajinga wachache hawawezi kutukwamisha milele tutajipanga tu kwa 2015 tutaikomboa hii nchi pamoja na ujinga wao. shame on them
 
Wewe si umeona mikoa yote masikini na isiyoenda shule ndio ngome ya CCM. Hivi kwa ninj hawajiulizi? Mtwara, Lindi, Pwani, Songea, Singida
 
si udini ndugu yangu wahindi ilala ni wengi sikujua siku ya kupiga kura nilipita upanga, kariakoo, katikati ya mji wako tele na vibibi na mikongojo hawana uchungu na nchi hii wao ni kuangalia maslai yao tu

kweli kabisa; wahindi wanatuangusha kabisa wameteka city center, mikakati inatakiwa kuwaondoa hapo polepole
 
Mimi sishangai ukifanya preliminary investigation utangundua kuwa wapo watu wengi katika manispaa ya ilala wanaipigia ccm ili kulinda maslahi binafsi kibiashara na wapo watu katika manispaa hiyo hiyo wanaipigia ccm kwa sababu ya upeo mdogo wa kuelewa mambo. Ukiangalia matokeo ya kiti cha urahisi kwa mfano kituo cha S/M Bunge just some meters kutoka Ikulu Kikwete kapigwa chini. Kwa mantiki hiyo tuna kazi moja ya kufanya hapa, hawa wanaoipigia ccm kura kwa maslahi binafsi tufikie point nguvu ya umma itumike kuwashughulikia na hawa masikini na wajinge kama ccm itapita 2015 kiboko ya ccm itakuwa imewanyosha but along the way inabidi tuwaelimishe wakati wanasurubishwa na kiboko ya ccm kuelekea 2015. Sehemu zote za wasomi Kikwete hakubaliki! Fuatilia matokeo katika vituo vyote vya elim na tasisi zake, makao makuu ya wilaya na mikoa jeshi, sehemu zote zenye mwamko wa maendeleo na elimuna hata usalama utaona ni jinsi gani jamaa amekalia kuti kavu!
 
nadhani Ilala kama huifahamu ntakufahamisha kidgo..Asilimia kubwa ya wakazi wake ni wenye asili ya kiasia, kiarabu, kingazija, kimanyema na kikongo, usitegemee CCM kuangushwa. Pili, watumishi/mafisad wenye kunufaika na CCM maeneo ya Muhi2, Upanga, City Centre na kwengineko hawawez kuibwaga CCM. Mwisho, Ofisi za Mafisadi na benki wanazo2mia kuibia nchi hii zipo Ilala, kwa hili uctegemee Chadema kushinda

Ihomela, thanks for this well thought out analysis.
 
Sidhani kama tatizo ni ELIMU,mimi nipo Kishapu-SHY,wilaya ya misho kwa elimu TZ;bila shaka na wilaya nyingine hazitatofautiana nayo kwa mbali. Na miaka ya nyuma huku kwa wasukumu (Dho shida-hakuna shida) CCM walikuwa wanalamba kura mbaya.
Sasa hivi;Meatu-CHADEMA,Maswa Mashariki-CHADEMA,Maswa Magharibi-CHADEMA, SHY Mjini-Wamechakachua, Bariadi, Kahama,Bukombe,Mbogwe-Wanasua kutangaza(Taarifa za kuaminika zinasema people's power imeingia huko pia).
Naamini hilo suala la watu wasio WaTZ hakisi-Wazalendo ndio shida(Waoga).
Ufanyike msako-verification ya uraia wao!!
 
Segerea-Mpendazoe......CHADEMA.................Kawe-Halima Mdee.......CHADEMA............Ubungo.....................Mnyika.......................CHADEMA.................Hivi hapa udini upo wapi??????????????????????

Na Kinondoni na Temeke hatujui ingawaje Ilala na Kigamboni CCM wanaendelea kutesa kule....................
 
Wasomi wengi ambao wako DAR wanaishi Kawe Ubungo na Segerea, kama lingekuerpo jimbo la Kimara CHADEMA ingechukua pia. HApo ilala wamejaa waswahili na wahindi, hata huyo zungu namwona kama Chotara fulani hivi, sidhani kama ni mtanzania!
 
Back
Top Bottom