Majiji ya afrika mashariki

acheni kujidanganya DAR HAS A LONG WAY TO GO....................wacha kuilinganisha na Nairobi Dar haiingii hata Kigali kwa mambo mengi!
 
una uhakika na unachokisema mkuu, mbona mnapenda kujidown grade hivyo? kigali? labda waishinde dar kwa usafi na usalama tuu,
 
Back
Top Bottom