Majibu ya Written Interview ya NIT yanatoka lini?

sebajohn

JF-Expert Member
Mar 31, 2016
230
97
Jamani Mbona Chuo cha NIT hawaweki matokeo mpaka sasa licha ya walisema watatoa Baada ya wiki Moja. Na Sasa wiki imepita
 
Wametangaza nafasi upya wewe hajaona?

Kuwa na tabia ya kupitia mitandao mingi na siyo JF tuu
 
Wametangaza nafasi upya wewe hajaona?

Kuwa na tabia ya kupitia mitandao mingi na siyo JF tuu

Walisema wataweka kwenye tovuti yao baada ya wiki moja. Na kila siku nacheki na sio kwamba sfuatilii ndugu! Kuwa mpole unapojibu swali !
Labda Mtakua mmefeli sana so wanaona aibu kuyaweka.
 
Jamani Mbona Chuo cha NIT hawaweki matokeo mpaka sasa licha ya walisema watatoa Baada ya wiki Moja. Na Sasa wiki imepita
Mambo bro naomba quote ya bei za hapo NIT nataka kumpeleka dogo akasome hapo.plz help me
 
Back
Top Bottom