Ally Kombo
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 11,429
- 2,645
Mi najua kinachowauma wamarekani na watawala wa ULAYA kote ni Ukweli kuwa ISLAM is the FASTEST growing religion in WESTERN countries sasa hapa wanaishia kujifaragua kutukana Uislam japo haisadii
Uislaam unapinga dhulma na unatetea haki, unapinga riba na unatetea biashara halali, unatoza zaka kwa matajiri na unalinda maskini. inafundisha waumini uadilifu na kutenda haki, Waislaam hawatiwi hofu na mtu, wana hofu ya Mungu !
Mabepari wanaogopa sana hilo