Majibu ya TCU yametoka

Emma Lukosi

JF-Expert Member
Jul 22, 2009
929
147
Majibu ya vyuoni kupitia TCU nasikia yametoka, ila kila nikijaribu kuya download Mtandao unagoma. kama kuna member ambaye ameshayapata tunaomba hayaweke hapa jamvini, maana hawa TCU wanaweza wakafanya vitu kumbe danganya TOTO!.

UPDATE:

DOWNLOAD MATOKEO HAPA
 
wametoa vyuo kama kumi tu angalieni haya hapa wakuu
 

Attachments

  • vyuo tcu 2010 1.pdf
    1.2 MB · Views: 1,317
Majibu gani tena hayo???????????

TCU, Tanzania Commission for Universities
Majibu ya kujiunga na vyuo kwa waliomba kupitia TCU.

Tanzania Commission for Universities (TCU) in collaboration with the National Council for Technical Education (NACTE) and higher education institutions has established a Central Admission System (CAS), which will be operational starting 2010/2011 admissions.

TCU Central Admission System selects applicants into higher education institutions basing on their academic results and criteria set for each programme. Applicants who are to use the system are those who completed their national Advanced Certificate of Secondary Education during 1988 to present. Applicants holding foreign certificates should download the form from the system, fill the form in duplicate and send one copy for validation at the National Examination Council of Tanzania (NECTA) and the other copy to TCU.

Applicants are advised to read the instructions carefully available on the system and the Student Guidebook when lodging their applications.
 
Jaman vyuo vikubwa bado eg mliman udom iaa mzumbe ifm etc da jamaa awafai
 
Sijawahi kuona wababaishaji kama hawa make walianza kuahidi matokeo yangetoka August hayakutoka! Leo wametangaza kwenye magazeti lakini hakuna lolote. This is very boring tcu
 
Habari wanajamii, kama kuna mtu anaselection za tcu za st. Joseph na DIT anaweza kunisaidia kwa kuattach au kuweka link pls.
 
Angalia hapa kuna IFM pia.
 

Attachments

  • Students'%20Selection%20First%20Batch.pdf
    1.5 MB · Views: 609
Majibu ya UDOM vipi?! Kwa aliye nayo tunaomba afanye attachment, tuta download. Asante.

Mbona UDOM yako hapo juu?

Wewe ambaye unataka format nyingine, ni rahisi kwako ku install adobe ambayo ni free kuliko kutuma kwenye format nyingine.
 
Back
Top Bottom