Majibu ya posa

shit kumbe mambo ya posa jibu nalo huchelewa?naona ntatumia huo ushauri wa kupachika mzigo,kitumbo kikianza kuonekana ndo ntakanyaga kwao.....aisee big up kwa kutukimbia mabachelor wenzako,vuta subira mkuu...
 
Huo si uungwana wakwe wengine wanakutimua na mke hupati maana
umewvunjia heshima!
 
Huo si uungwana wakwe wengine wanakutimua na mke hupati maana
umewvunjia heshima!

hii ndo dawa yao. Hata wakinitimua,kwani wataoa wao wenyewe? Watanikubali tu! Wakigoma naondoka,binti atanifuata.
 
Umejiandaa una sh ngp? Mara nyingi huwa ina range mil1 hadi 2

Mahari huwa anapanga mke...so kiwango ni chochote kinaweza hata kuwa elfu 3. Unless hao wazazi wana lao jambo mpaka wapange wao.
 
Vuta subira dogo. Labda wazazi hawakufahamu vizuri tabia yako ndio kwanza ametumwa shushushu ili aone kama kweli ww unafaa kuoa. Au kimeandaliwa kikao cha wazee wa familia ili wapange kiwango cha mahari kulingana na mila zao. Ila kama tayari umeshapachika mimba hakuna kikao, utapewa jibu la kupeleka ng'ombe wa faini. Ili usiwe na mawazo sana fanya utafiti wa kiinterijensia kutoka kwa huyo mkeo mtarajiwa, maana ni lazima yeye ataanza kuulizwa kama anakupenda kwa dhati, na jibu la awali utalipata kutoka kwake.
 
Back
Top Bottom