Majibu ya Ofisi ya Bunge la baraza la wawakilishi Zanzibar kwa kikundi cha UAMSHO.

Sitachoka

JF-Expert Member
Nov 17, 2011
3,030
1,303
Rashid Salim Adiy na wenzako,
KUH: OMBI LA HOJA YA
KUWEPO KURA YA MAONI
JUU YA SUALA LA
MUUNGANO WA TANZANIA
Nimetakiwa na Mheshimiwa
Spika wa Baraza la wawakilishi
la
zanzibar niwajulishe kuwa yeye
haoni haja ya hoja yenu ya
kuwepo kura ya maoni juu ya
suala la Muungano wa Tanzania
kujadiliwa kwenye baraza la
wawakilishi la zanzibar kwa
sababu hilo ni swala la kikatiba
na serikali ya Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania tayari
imeshatoa maelekezo juu ya
kujadiliwa na baadae
kupatikana
katiba mpya ya Tanzania.
Mheshimiwa Spika anaamini
kuwa swala liliomo kwenye hoja
yenu linaweza kupatiwa jibu
kupitia njia hiyo na, kwa hivyo,
halitapangwa kujadiliwa
kwenye
baraza la wawakilishi
Ni imani yake kwamba
mutamuelewa
ahsanteni
Yayha Khamis Hamad
Katibu wa baraza la wawakilishi
zanzibar
28 April
 
MAJUMIKI wala hawakuelewa..wakaendelea Kufanya Ugaidi kama MUNGIKI,BOKOHARAMU,TALEBAN. Curse unto them
 
Rashid Salim Adiy na wenzako,
KUH: OMBI LA HOJA YA
KUWEPO KURA YA MAONI
JUU YA SUALA LA
MUUNGANO WA TANZANIA
Nimetakiwa na Mheshimiwa
Spika wa Baraza la wawakilishi
la
zanzibar niwajulishe kuwa yeye
haoni haja ya hoja yenu ya
kuwepo kura ya maoni juu ya
suala la Muungano wa Tanzania
kujadiliwa kwenye baraza la
wawakilishi la zanzibar kwa
sababu hilo ni swala la kikatiba
na serikali ya Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania tayari
imeshatoa maelekezo
juu ya
kujadiliwa na baadae
kupatikana
katiba mpya ya Tanzania.
Mheshimiwa Spika anaamini
kuwa swala liliomo kwenye hoja
yenu linaweza kupatiwa jibu
kupitia njia hiyo na, kwa hivyo,
halitapangwa kujadiliwa
kwenye
baraza la wawakilishi
Ni imani yake kwamba
mutamuelewa
ahsanteni
Yayha Khamis Hamad
Katibu wa baraza la wawakilishi
zanzibar
28 April

Bora waendelee kudai kihivyo
 
Back
Top Bottom