Ameomba radhi ina maana ame-nulify hiyo habari na hiyo picha. Tena ameongelea kwenye redio yenu. Sasa hatari iko wapi hapo.Hii hatari sana
.......lakini alichotaka kukifanya ameishakifanya! kama ni mimi nisingeridhika na kuomba radhi peke yake.Ameomba radhi ina maana ame-nulify hiyo habari na hiyo picha. Tena ameongelea kwenye redio yenu. Sasa hatari iko wapi hapo.
.......lakini alichotaka kukifanya ameishakifanya! kama ni mimi nisingeridhika na kuomba radhi peke yake.
wataka asomewe albadiri au atangaziwe jihad?
BBC yalaumiwa kwa kueneza picha bandia za kuipaka matope serikali ya Syria |
Gazeti la Daily Telegraph limeripoti kuwa, BBC imetumia picha ya zamani iliyopigwa mwaka 2003 nchini Iraq na kudai kuwa ni picha za watu waliouliwa na vikosi vya serikali nchini Syria. Mpiga picha Marco Di Lauro aliyepiga picha hiyo huko Iraq mwaka 2003 amelalamika kwenye ukurasa wake wa Facebook akisema kama ninavyomnukuu: "Kuna mtu anatumia picha zangu kuendesha propaganda dhidi ya serikali ya Syria na kujaribu kuonesha serikali hiyo inafanya mauaji ya umati." Wakati huo huo Bashar Ja'afari, Balozi wa Kudumu wa Syria katika Umoja wa Mataifa jana alilalamikia kile alichokiita ni "tsunami ya uongo" unaoenezwa na baadhi ya nchi na vyombo vya habari vya kieneo na kimataifa dhidi ya Syria. Mapigano kati ya vikosi vya ulinzi vya Syria na makundi yenye silaha yamezuka tena licha ya kusimamishwa tarehe 12 Aprili mwaka huu chini ya mpango wa amani wa Kofi Annan, mpatanishi wa Umoja wa Mataifa katika mgogoro wa Syria SOURCE:BBC News uses 'Iraq photo to illustrate Syrian massacre' - Telegraph |
.......lakini alichotaka kukifanya ameishakifanya! kama ni mimi nisingeridhika na kuomba radhi peke yake.