Tatizo gani la Afrika liliweza kutatuliwa na AU? Hadithi za Pwagu hizo Somalia imewashinda wataweza ya Libya? Membe na viongozi wenzake wa CCM wakae kimya na wamalize matatizo ya Watanzania ambayo yanawashinda hiki kimbelembele chao hakiwasaidii walipa kodi wa Tanzania ambao wanalipa mishahara yao minono na kuweza kuweka chakula mezani kwao.
Typical of a vindictive and malicious person. Discussion hii kwa muda mrefu imejikita kwenye personalities na vitu vya kufikirika. Hivi umeambiwa hao BRIC au hayo mataifa unayoyazungumzia wana policies ambazo hazifungamani au haziangalii maslahi ya wakubwa? Mengi yaliyozungumzwa humu ynalenga ku-discredit waziri as if kuna mambo yalikuwepo huko nyuma na sasa yameharibiwa na yeye. Niambie ni wakati gani katika historia ya nchi hii sisi tulikuwa na sauti kwenye vyombo vya maamuzi huko UN kama Security Council? Sasa unalaumu nini leo? Issue ya Somalia ni fupa ambalo limeishinda dunia nzima ni hiyo ni kwa sababu za historia ya Somalia na nature ya society yao na hata namna mgogoro wao ulivyo. Sasa ulitegemea kwamba kipimo cha ufanisi wa AU ni kuangalia suala la Somalia? Mbona hata South America unaowa-adore wameshindwa kutatua tatiza la Colombia na FARC na limekuwepo kwa miongo kadhaa sasa na bado wewe unaona kwamba wako okay.
Ukweli ni kwamba mijadala mingi ya watu wa aina ya Ben ni ile ambayo imechochewa na ajenda nyingine na inayochomekwa na watu wenye ajenda binafsi na ndiyo maana watu wanatoa disclaimer kabla kwa sababu wanajua kwamba ita-attract criticism ya hali ya juu kutoka kwa watu ambao ni objective and right thinking. Ukweli ni kwamba ubora wa foreign policy ya nchi siyo kuwa na policy yenye ukinzani na Marekani maana hata Blair na ukubwa na historia ya kutukuka ya nchi yake bado alikuwa perceived kwamba anaendeshwa au kutumikia sera ya nje ya Marekani. What is a big deal about us here?