Majibu ya Kigwangalla: Kwa Nini Sikusaini Hoja ya Mhe. Zitto Zuberi Kabwe (MB)!

Hamisi wewe ni mbovu mfano hauna..hujui majukumu au kazi ya mbunge ndo maana hukusign petition ya zito na si vinginenyo.
 
Huyu jamaa nilikuwa namheshimu kama kijana lakini kuanzia niliposoma utetezi wake nimemdharau sana, hivi huyu ni dk wa kitu gani, kwanza alishindwa kura za maoni kabebwa. Mtu kama huyu hawezi kuwa na fikra HURU lazima aishi kinafiki hakika kuishi maisha kama haya ya unafiki ni bora ukafa maana ni hatari. Mkuu kigwa ningekuwa mwananchi wa Nzega ningeakikisha hupati hata mjumbe wa nyumba kumi
 
Brother, waliopo CCM pia ni wananchi wa nchi hii hii, na ninakuhakikishia kabisa kwamba ndani ya wabunge wa CCM kuna watu wazuri sana, tena wazalendo kupita kiasi kuliko unavyotaka kufikiri, na ndiyo maana tunaendelea kuchaguliwa na wananchi. Suala la kusaini ama kutokusaini ni la kiutaratibu na kwa mfumo tulionao si sahihi kwa MB wa CCM kupiga kura ya kitu kizito kama hicho bila kuangalia msimamo wa chama chake. Kusimamia mambo ya kitaifa na hata kuunga mkono hoja za kambi ya upinzani kwenye mambo madogo madogo inakubalika lakini siyo kwenye mambo kama haya, hili la kutokuwa na imani na WM!!!! Hata kama CHADEMA wangekuwa wanatawala wasingekubali hilo...

huna lolote kaka, njaa na uchu vinakusumbua tu. nilidhani unafiki umekuisha lakini bado wewe ni yule yule mpuuzi wa MUCHS miaka ile ya usaliti wa uliokuwa unawaongoza. stupid!!!!!
 
Kama wewe sio Mnafiki, basi jina lako bay asana. Aheri ungekubali la unafiki. Kama kweli ufisadi wote ulioonyeshwa pale lakini bado una imani na serekali yako, basi wewe ujitafutie jina mwenyewe ili ujihurumie.
Ngoja nikupe takwimu kidogo kutoka kwa BOT na uipime serekali yako.
Uchumi unakua kwa 6%, lakini mfumuko wa bei unakuwa kwa 24% na deni la taifa linaongezeka kwa 36 %. Mbaya zaidi CAG anasema kuwa deni hilo halikuongezeka kwa sababu ya uwekezaji (investment zaidi bali government spending isiyo zaidi). Bado unaona kuwa mambo shwari.
Mimi ni mfanyakazi wa serekali. Ili ujue mambo serekalini ni magumu, sasa hivi wamekataa taasisi ipeleke hela PPF wanadai hazina itapeleka yenyewe kule PPF. Lakini tangia mwaka jana mwezi wa saba serekali haijapeleka makato ya wafanyakazi PPF. Lakini pia kwa sababu serekali haina hela, hata imebadilisha mkataba wa kulipa deni ninalodaiwa na loan board, sasa hivi nakatwa 10% ya mshahara wangu kulipa loan board wakati mkataba wa mwanzo ulikuwa tulipe kwa miaka kumi.
Nyie mwaka jana mwezi wa saba mlipitisha ghost budget pale bungeni, bado wewe na digrii zako zote hizo unasema kuwa mambo shwari tu.
Raisi wako mwenyewe anakubali kuwa mambo sio shwari, wewe unasema ni shwari tu. kwa kweli unapokuwa na mentality ya NDIO MZEE tuliyojengewa na CCM kwa miaka yote hiyo unakuwa mtumwa kweli kweli. Hata uwezo wa kufikiria unakoma kwa sababu unaamini Chama kikisema ndicho kiko sahihi kabisa.
Usitudanganye mzee, ulikuwa unaangalia upepo unapokwenda ndio uje hapa kujibu. Kusingizia technologia kuja kujibu hapa is shame! Watu wenye uchungu na nchi hii wanajulikana sasa. I am sorry to say, you are not among them.
 
wewe ni mnafiki kwakuwa wananchi wa jimboni kwako wamekupeleka bungeni kutetea maslahi yao na si maslahi ya chama chako. Kuto sign karatasi ya zitto yenye lengo la kuiwajibisha serikali kwa mawaziri wake kutumia vibaya mali za umma ambao wananchi waliokuchagua wewe ukawawakilishe bungen ni miongoni mwa huo umma ni unafiki.
Halafu eti ulidhani zitto anataka kuwawajibisha mawaziri wale watano ndivyo ulielewa. Lakini nakumbuka zitto alisema nyinyi kama wabunge hamna uwezo wa kuwavua madaraka mawaziri, lakini mnao uwezo wa kumwajibisha mtu mmoja tu ambaye ni waziri mkuu kwa kupiga kura ya kutokuwa na imani naye hivyo kumfanya aondoke na akiondoka ataondoka na mawaziri wote.
Sasa mimi niliye kuwa nje na ambaye si mbunge nilielewa wewe ambaye ni mbunge kama hukuelewa hilo basi nadiliki kusema wewe ni mbumbu hata uelewa wako ni mdogo katika kuelewa hoja za watu so bungeni umeenda kula posho na kulala.
Wewe ni mnafiki
 
Ndugu zangu wanabodi,

Nimeamua kuja kujibu kama ambavyo mngependa nifanye. Siyo kwamba nimekimbia JF, la hasha. Siwezi kukimbia na wala sina sababu ya kufanya hivyo. Ni kwamba gadget yangu ninayotumia kwa mawasiliano ilipata mushkeri na nikawa nalazimika kutumia kompyuta na bahati mbaya sana kwa jinsi nilivyokuwa bize na ujenzi wa Taifa nilijikuta nakosa muda wa kukaa kuanza ku-surf. Nisamehewe kwa hilo.

Mimi sijawahi kuwa mnafiki, at least kwa alama tatu za mnafiki kama tunavyofundishwa sisi waislamu. Kwa faida ya mjadala huu, niseme alama zenyewe. Moja ni kuwa akitoa ahadi hatekelezi. Mbili, ni akiaminiwa anahalifu na tatu, akizungumza husema uongo. Namshukuru Mungu sina hata moja ya alama hizi na hivyo kushindwa mtihani wa kuwa 'mnafiki'. Ungeniita mnafiki kama nisingekuwa tayari kutoa maelezo ya maamuzi yangu, ama kama ningewasaliti CCM na kupeleka siri za huku kule, ama kama ningeahidi kuunga mkono hoja hiyo kisha nikakimbia. Leo hii mimi niko chama kimoja tu, CCM, na nitafanya mambo yanayokubalika ndani ya CCM. Siku nikihamia CHADEMA/CUF/NCCR basi nitafanya ya huko bila kusaliti kule na kurudisha CCM ama kupeleka kokote kule kinyume na utaratibu. Huo ndiyo msimamo wa ukweli na siyo unafiki.

Kuna uwezekano wa kuwa na tafsiri tofauti kutokana na pre-conceptions zetu vichwani, siwezi kulizuia hilo hata kidogo. Kwa kuwa ninakalia kiti cha uwakilishi, nina-feel ninawajibika kwenu kutoa maelezo ya msimamo wangu kwenye hili, na wala sintomumunya maneno.

Kwanza, hoja yenyewe siikubali. Kwa sababu ninaamini serikali ya Chama Changu (CCM) haijashindwa kufanya kazi ya watanzania kiasi cha kung'olewa madarakani kwa namna hiyo. Pili, naamini na ninakubali, na kwa hakika ninakerwa na baadhi ya watu waliopewa dhamana za kuongoza baadhi ya ofisi nyeti za umma wametuangusha watanzania, na hivyo naunga mkono hoja ya kutaka kuwatoa hawa. Mhe. Zitto Kabwe (MB) alipokuwa akijumuisha hoja yake, alitaka serikali iwawajibishe baadhi ya mawaziri na watendaji wakuu wa Wizara na Mashirika ya umma, na akasema kama serikali haikufanya hivyo kufikia J3 iliyofuata basi sisi (Bunge) tuna uwezo na WM na kwamba atapitisha karatasi ya kukusanyia saini 70 ili kukidhi matakwa ya kikanuni ya kuwasilisha hoja ya kutokuwa na imani na WM; kwa tafsiri yangu ni kwamba Mhe. Mbunge alilenga kuweka presha kwa serikali, kuitaka iwajibike kwa kuwawajibisha mawaziri hao (watano) kama alivyowataja yeye. Kwanza mwanzoni nilielewa hivyo. Baadaye jinsi ilivyopokelewa na wadau mbalimbali nikaona kama hoja inahama sasa na kwamba si mawaziri hao watano wenye tuhuma mbalimbali, ni PM na kwa maana hiyo ni serikali yote Bungeni! Hili mimi siliungi mkono na silikubali. Nasema wazi hivyo kwa sababu, mimi nina imani na WM, nina imani na Rais - aliyemchagua WM, na nina imani na Mawaziri wengine wengi wazuri tu kwenye serikali hii, na msimamo wangu huu uko wazi sana tu.

Mbili, sioni sababu ya kuiingiza nchi kwenye wasiwasi wa kiutawala kiasi hiki. Na kwa kuwa wabunge wa CCM kwenye party caucus tulikuwa tayari tumeishaambiwa kwamba kuna mawaziri wameamua kujiuzulu wenyewe (tena siyo wale watano, ni wanane kabisa) kutokana na tuhuma hizo na presha kutoka kwa wabunge wa CCM na wengine, sikuona sababu ya mimi kusaini hoja ya Zitto (ambayo kikanuni ilikuwa imekosewa - kitendo kilichonidhihirishia wazi kwamba hakuwa na u-seriousness wa kutaka kweli kumuondoa WM bali ni baadhi ya mawaziri, sema alichomeka tu hiyo kauli ili kutia presha zaidi!). Zaidi ya hapo, ninaamini hoja hiyo ni nzito na kimsingi, kwa sasa, imegeuka kuwa ni mchezo wa kisiasa na media na haitofika popote! Kama Mhe. Mbunge Zitto alikuwa na nia ya dhati ya kumuondoa WM asingekurupuka kiasi kile, angewashirikisha watu wengi zaidi, hususani wabunge wa CCM, na kimkakati zaidi angewapa wabunge wa CCM walioibua hoja hizo za kuwataka mawaziri wang'olewe na hapo angefanikisha malengo ya kumuondoa WM na serikali yake Bungeni. Kwa namna ilivyo hawezi kupata support ya wabunge wa CCM na kwa kuwa sisi ndiyo majority, hoja hiyo haitopita - na hii itaturudisha kule kule kwenye nilichokisema kule twitter kwamba hoja hii ni ......politically right but technically flawed!

Jamani, hoja ya kumuondoa WM madarakani siyo kitu kidogo, siyo kitu cha mchezo, ni lazima ujipange. Ukweli ni kwamba rafiki yangu Mhe. Zitto hakujipanga kuifanikisha (bila shaka yeye mwenyewe analielewa hili vizuri - he is smarter than this, I know him!)

Tatu, msisahau kitu kimoja cha muhimu kabisa. Kwamba, mimi ni Mbunge kutokea CCM na kama walivyo wengi wenzangu hatukusaini kwa sababu hatuwezi kuiangusha serikali ya CCM kwa hoja inayoletwa na Mbunge wa Kambi ya Upinzani! Mbunge wa Chama Tawala kuamua kuiangusha serikali ya chama chako ni sawa na kuamua kukata tawi la mti uliokalia, kwa vyovyote vile utaanguka nalo! Simple logic! Mfumo wa Bunge letu ni wa Westminster, na hivyo kuna kambi ya Upinzani (yenye interest ya kutaka kuiangusha serikali inayotawala) na Kambi ya Serikali (ambayo ina interest ya kutaka kuilinda serikali yake). Kwa maana hiyo sisi wabunge wa CCM tuna jukumu la kuilinda Serikali inayopatikana kutokana na sisi kuwa majority. Serikali ni lazima i-enjoy majority status ndani ya Bunge ili nchi itawalike kwa amani na utulivu, japokuwa haimaanishi kuruhusu ubadhirifu na ndiyo maana kwenye Party Caucus wabunge wana nguvu na fursa ya kusema chochote dhidi ya serikali ya Chama Chao. Kuna wengine wanataka Bunge liwe Bunge huru (ama 'An Indipendent Power House') disregarding political opinions/inclinations/affiliations na serikali iwe serikali, hii haiwezekani kwa katiba tuliyonayo leo. Tubadilishieni kwanza katiba na mfumo wa kufanya kazi ndipo mtutake tufanye hayo mnayoyatamani.

Nadhani nimejiweka wazi bila unafiki, sasa tujadili kwa hoja siyo kwa hisia na matusi kama hatukwenda shule vile.

Wakatabahu,
HK.

HUNA AKILI KABISA PAMOJA NA PhD YAKO. UONI AIBU KUANDIKA UCHAFU WA NAMNA HII. YAANI UMEONA HAYA NDO MANENO YA KUWAELEZA WATU. NITASIKITIKA KAMA WANNCHCHI WA JIMBONI KWAKO HAWATAKUPIGA MAWE. MPUUZI MKUBWA

Hana
 
wewe unatetea wananchi kwa maslahi ya taifa au unatetea wananchi wako kwa maslahi ya chama cha mapinduzi?

Maelezo meengi.
Hivi jina lako Ulijino ulilotumia shule ya msingi nani vile ukiacha hilo linalojulikana kikazi
 
Inasikitisha sana,wew ni moja ya wabunge wasomi ila unashindwa kutofautisha jambo ambalo lenye maslahi ya umma wa watz waliokuchagua na maslahi ya chama.."Huwezi kusupport hoja iliyoletwa na wapinzani kuikandamiza serekali na chama chako"hivi kweli unatumia ubongo au makamasi?what a hell is ccm kwa rasilimali zetu na kodi zetu?wewe ni dr,na amini kwa akili hizi ni mara nyingi tu umempa mgonjwa wa kichwa dawa za tumbo..shame on u
 
Kigwangalla ,usomi wako nautilia shaka ,haujitafsri kama musomi ,hoja yako haiana thamani bora hoja ya mwernda wazimu na kichaa angeliposti mawazo yake humu yangalikuwa na thamani kuliko uchafu wako uliouleta hapa.shetani akutangulie kwenda kuzimu ukaishi huko
 
Back
Top Bottom