Majibu ya Jack Zoka yana utata!

Status
Not open for further replies.
pepo jipya (jini siasa) la Chadema linawapeleka puta vibaya utafikiri kichaa cha mbwa wawe makini kutupa tuhuma hovyo hovyo

Watu wengine bana sijui wamezoea multiple choice? Urgue with sensible reason !!!.... unaandika km unaandaa vipeperushi vya dawa za kuongeza nguvu za kiume
 
bad language.... uko upande wa chadema na ndio maana unasilikiza na kuamini ya upande mmoja tu
Mwaka huu tutaona na kusikia vituko vingi tu ambavyo lengo lake ni kutafuta njia za mkato za kuingia Ikulu. Sasa mambo ya siasa wanataka kuyaingiza hata katika usalama wa taifa!! jambo ambalo km ni viongozi makini wanaojua mifumo na nafasi ya taasisi nyeti za dola, hata km siku wataingia mjengoni, hawatathubutu hata kufikiria siasa kuichanganya na vyombo hivyo..kwani havichanganyiki. Tafuteni hadaa nyingine baada ya madaktari kukwama.
 
Ninavyo jua na ninavyo amini, damu wanazo zitengeneza, muda si mrefu zitawageukia. Ninavyo ona wakati wa tembezeana bakora hauko mbali. Tutaona kama vyeo vitawasaidia.
 
Chama cha siasa kujiingiza kwny malumbano na vyombo vya ulinzi na usalama ni dalili za kupoteza mwelekeo

Kweli hushirikishi akili yako kufikiri,au ndo nayenyewe ipo kwenye mkomo?wewe unatishiwa usalama usihoji mpaka kwanza ufe?au unataka tueleweje.Wao wamegundua wale wanaotakiwa kuwalinda wanataka kuwaua sasa wasihoji?Wanyamaze kwanza ili wakifa ushahidi upatikane.Kaaazi kweli kweli.
 
Wakati idara za wenzetu zikijikita kwenye industrial espionage na maslahi mengine nje ya mipaka ya nchi zao sisi idara yetu iko bize kuilinda na kuitetea CCM.Usalama wa Taifa unageuka kuwa hofu ya taifa.Hali ikiendelea hivi ni bora hii idara ifutwe(Katiba mpya na iseme hivyo).
 
Zoka, Nyoka,Joka wote ni ndugu ni viumbe hatari sana hapa duniani lakini mwishoni watagongwa vichwa wafie mbali

Kila Mtanzania including viongozi wa CCM na serikali yao wanajua kabisa kile ambacho UWT wanakifanya. Tuna hakika na tunajua hawa hawa ndiyo wali-play part katika kuchakachua Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2010.We know them! Tunajua TISS/UWT ni sehemu ya UTAWALA DHALIMU WA CCM.

Wao waendelee tu na ujinga huu wa kuteka,kutesa,kunyanyasa na kuua!PEOPLE ARE JUST WATCHING. The day is coming sooner or later tutakaposema NO na kuamua kupondaponda vichwa vyao hawa kina ZOKA,NYOKA NA MAJOKA WOTE katika nchi hii.

Inanikumbusha ule wimbo waliokuwa wakiimba wapiganaji na Watanzania wote kwa ujumla wakti wa kumpiga nduli Iddi Amin uliokuwa ukisema,

''JOKA HILO,JOKA LIMEINGIA NYUMBANI,
''WATOTO WAMECHACHAMAA JOKA KULITOA NDANI,
''JOKA HILO.''

Kwa hiyo pale palipo na JOKA weka ZOKA!

Zoka's days are also numbered. Yeye anafikiri hatakufa? Kwani yeye anafanya kazi Ikulu masaa 24,analala Ikulu 24 hrs,hasafiri,haendi likizo,na familia yake na ndugu zake wote wako Ikulu saa zote? Atakuwa anajidanganya! YEYE AENDELEE NA MIPANGO YAKE YA MAUAJI LAKINI TUNAMWAMBIA HIVI KABLA YA MMOJA WA HAWA ALIO WA-TARGET HAWAJAONJA MAUTI NA YEYE ATAFUATA. IT WILL BE A TIT FOR TAT! TUMECHOKA NA UTAWALA DHALIMU WA SERIKALI YA CCM INAYOSAIDIWA NA TISS!!!

Pambaf!


 
Yeye ni mtumishi waserikali katumwa kuua basi ataua, hiyo ndiyo maana yake kajibu vizuri sana.

serikali ni nini? ni nani? kwa ajiri ya nani? kama serikali inaweza kushiriki kufanya madudu kama haya, je tunaihitaji serikali ya namna hii? ni nini alternative ya serikali?
 
serikali ni nini? ni nani? kwa ajiri ya nani? kama serikali inaweza kushiriki kufanya madudu kama haya, je tunaihitaji serikali ya namna hii? ni nini alternative ya serikali?

We jinga nini?
Yaani wewe utumwe kwenda kumwua raia mwenzako asiya na kosa tena na serikali halafu unaenda kutekeleza kweli? Basi wewe ni sawa na roboti hakuna tofauti. Kwa hiyo hao serikali hata wakikuambia wakufirx basi utatiii tuu?? Inaonyesha ni aina gani ya UWT tulio nao. Sidhani kama kwenye maadili yao ya kazi kama wanaruhusiwa kuua pasi na sababu!!!
 
unasumbuliwa na siasa za chuki baina ya CCM na CHADEMA jack yuko sahihi kajibu kijasusi hana siasa longolongo
jasusi gani hao vijasusi uchwara wanashindwa hata kuua wanamuacha mtu anawachafua nimengolewa meno na kucha wangeitimu kiukweli huo ujasusi haya tusingesikia
 
Chadema fanyeni kazi zenu za siasa wacheni watu wa usalama wa Taifa wafanye kazi zao za kulinda nchi.
 
Tuhuma zilizoelekezwa kwake ni ngumu mno ukizingatia unyeti wa chombo husika.zoka kusema kwa wepesi hivyo nukukiri kwamba hiyo mipango alikuwa anairatibu sasa amejkurupushwa na sasa ameshindwa kujibu

Lazima ajibu maana jina lake ndo limetajwa. Usalama wa taifa inabidi kusafishwe maana kuna watu flani wamepandikizwa kule na wanafanya kazi kwa manufaa ya watu wachache and ccm cant make the changes.
 
Njama zao zimegundulika mapema. Sio kila deal wanalopanga linafanikiwa siku zote! Kuna wakati nao wanashindwa hasa wakati huu ambapo usalama wa taifa wa CCM umegawanyika. Tatizo akina Zoka wamekuwa wakifanya kazi yao kwa matakwa ya CCM huku wakitelekeza maadili ya kazi yao tofauti na viapo vyao.
 
Hivi huyu Jack Nzoka si ndio swahiba wake na Zito Kabwe?? Nazikumbuka zile email zake na zito ziliripotiwa sana na Mwanahalisi
 
hapa hata mimi Nampongeza Mr Zoka kazi anayoifanya ni sahihi kabisa, yeye hayuko kukamata wezi wa Twiga, au malumbano ya kisiasa kati ya CHADEMA na CCM ambao ndio wagomvi wakubwa yeye huko hayupo.

TISS kazi yake ni kwa Serikali iliyopo Madarakani na shughuli zake za Utawala, hata CUF ikiingia Madarakani yeye atakuwa anashughulika na Serikali ya CUF yeye hatahusika na Malumbano ya kisiasa Angalieni Marekani CIA ya Bush ndiyo hiyohiyo ya OBAMA, na wananchi wanamuheshimu Rais ingawa ni mweusi kutoka Afrika, HATUKANWI, HAKASHIFIWI km amekuudhi sana ipo Bustani yenye Mnara huko Washington unaenda hapo unatukana unavyoweza ukitoka tu ni kimya. Waliomtukana Bush wote wamepelekwa kwenye Sheria (kwa Ushahidi nitaufuatilia niwawekee)
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom