Majibu ya Jack Zoka yana utata!

Status
Not open for further replies.
Haya mambo yangefanyika miaka ileee, ingebaki kuwa siri, lakini kwa sasa no no no, huwezi kufanya siri katika ulimwengu wa sasa.

Kuna haja ya CDM kuwa na TISS yake sasa ili kujihami na hawa wauwaji kutoka TISS ya CCM.

Hatuwezi kuendelea kufa/kuteswa kikondooo namna hii. kila mtu kwa nafsi yake achukue hatua, mbona vibaka twawachoma moto hadharani itakuwa hawa wajinga tunakunywa nao Bar kila kukicha?

Huna uzalendo hata kidogo unataka kuipeleka nchi yetu kusiko
 
Chama cha siasa kujiingiza kwny malumbano na vyombo vya ulinzi na usalama ni dalili za kupoteza mwelekeo

Wewe ni rais wa migomo isiyokuwa na tija, na unaonyesha jinsi ambavyo huendani na wakati, unashindwa hata kuchambua hali ambayo nchi yetu inayo kwa sasa, unashindwa kuelewa hata maisha tuliyonayo watanzania wa chini. Nikizisoma comments zako naweza kuku-define katika perspectives nyingi sana. Kama sio mshirika wa chama tawala basi wewe ni shabiki usiejua mwelekeo wako. Hali ambayo Tanzania inayo leo haihitaji maoni ya watu design yako. Muda sio mrefu watu watakuwa wanashindia chai isiyo sukari. Leo mtanzania anakula mlo mmoja bado unawashabikia hao jamaa zako wanaosababisha ugumu wa maisha. Sijui kuhusu elimu yako maana navyozidi kuifikiria Tanzania ya leo ilivyo kulinganisha na rasilimali zilizopo na nikiangalia comments zako nazidi kupata tafsiri mbaya juu yako, ila ntendelea kukuchambua kadri utakavyoendelea kutoa hoja dhaifu namna hiyo. Haya TISS wameshakuwa mawakala wa ugumu wa maisha ya watanzania, kila mtu anaekuja na solution kuhusu maisha mazuri anakuwa ni adui yao. Angalia maisha wa watanzania then ufikirie ndo utoe comments zako unakera
 
Huu ni uchokonozi ili TISS waseme nje ya tabia yao, hili gazeti lina akili sana.

Gazeti linamuwinda Zoka aseme limeamua kutangulia kusema kasema mmmmmh
 
Who is poor!! among the stupid idiot who disclose their evil plans in pubs and bars and the one narrating what they have heard!! Who is poor among the crazy! who pretend to defend the state by abusing their power and the state through stupid torture!!

do u know the meaning of kujihami,thats how u r masters are doing,kujifanya wanataka kuuawa ili kutafuta huruma ya wananchi.we r so punctual on ths men.
 
Kwa mujibu wa gazeti la The Citizen la leo naibu mkurugenzi wa Usalama wa Taifa aliyetuhumiwa na CDM jana kuwa yeye anasimamia operesheni ya kuangamiza viongozi wake amejitokeza na kutoa majibu yafuatayo;

But in a quick rejoinder, Mr Zoka dismissed the allegations, saying that Chadema officials were just playing politics and he would ignore them since he was not a politician but a civil servant working for a State organ.
"Dragging my name into their claims is sheer nonsense…. all these people are doing is play politics by way of looking for easy punching bags. I'm doing my work as guided by principles and procedures," Mr Zoka said

maswali ya kujiuliza;
1. Kanuni zinasema je kuhusiana na ni nani anapaswa kuongea na vyombo vya habari
2. Ametoa wapi mamlaka ya kutoa tamko kama kanuni hazimpi ruhusa
3.Kwanini kajitokeza haraka hivyo wakati Mkuchika ambaye ni waziri wake kasema kuwa jambo hilo ni kubwa na haliwezi kusemewa semewa ghafla.

Ninavyoona huyu jamaa anaharibu heshima ya Idara , na ndio maana CDM wanaweza kuipata mipango yake na kuiweka hadharani ,

Heshima hujengwa kwa kusema au kunyamaza????
 
pepo jipya (jini siasa) la Chadema linawapeleka puta vibaya utafikiri kichaa cha mbwa wawe makini kutupa tuhuma hovyo hovyo
 
Hakuna mtu anaeweza kuwa na akili ya kipumbavu kufikiria kuua viongozi.kwa maslahi na faida ya nani then.huu ni uzushi mtakatifu
 
hata ingekuwa ni kweli hayo maneno yangekuwa ni ya Zoka bado sijaona ubaya wake ninachoona hapo ni mleta thread kujaza ushabiki dhidi ya kauli hiyo.
 
Kiingereza ndio kimekuwa kigumu kwa mleta mada lakini hakuna ubaya wa maneno hayo
 
Chama cha siasa kujiingiza kwny malumbano na vyombo vya ulinzi na usalama ni dalili za kupoteza mwelekeo

Ulinzi na usalama upi? wa wananchi au wa dola au wa Mafisadi? Ulinzi na usalama unapoelekezwa kulinda usalama wa mafisadi basi hapo huwezitenganisha usalama na siasa. Hapa kwetu hivyo vyombo ndiyo fence kuu ya GENGE la MAFISADI (= wizi wa kidola).
 
Kwa mujibu wa gazeti la The Citizen la leo naibu mkurugenzi wa Usalama wa Taifa aliyetuhumiwa na CDM jana kuwa yeye anasimamia operesheni ya kuangamiza viongozi wake amejitokeza na kutoa majibu yafuatayo;

But in a quick rejoinder, Mr Zoka dismissed the allegations, saying that Chadema officials were just playing politics and he would ignore them since he was not a politician but a civil servant working for a State organ.
“Dragging my name into their claims is sheer nonsense…. all these people are doing is play politics by way of looking for easy punching bags. I’m doing my work as guided by principles and procedures,” Mr Zoka said

maswali ya kujiuliza;
1. Kanuni zinasema je kuhusiana na ni nani anapaswa kuongea na vyombo vya habari
2. Ametoa wapi mamlaka ya kutoa tamko kama kanuni hazimpi ruhusa
3.Kwanini kajitokeza haraka hivyo wakati Mkuchika ambaye ni waziri wake kasema kuwa jambo hilo ni kubwa na haliwezi kusemewa semewa ghafla.

Ninavyoona huyu jamaa anaharibu heshima ya Idara , na ndio maana CDM wanaweza kuipata mipango yake na kuiweka hadharani ,

Nikikutukana mods wataniban dhamira yako ni kumlisha maneno yako Jack Zoka ili aonekane kachemka,
 
Chadema always wanatafuta support na huruma ya wananchi. Wameona migomo imeshindikana kuifanya nchi isitawalike na sasa wanakuja na mbinu mpya na chafu kama hii.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom