Maji ya kuoga...!

acha uvivu,jipelekee mwenyewe.au akikuwekea na wewe muonyeshe mapenzi,muwekee.na mkifanya hivyo kwa wote 2 inapendeza zaidi

Mwambie huyo banaa kama anataka mtu wa kumfanyia kazi si aajiri house girl atambebea maji asubuhi na jioni/usiku.
 
Sasa kulishwa si ndio mapenzi yenyewe bana?Tusipolishwa sisi alishwe nani tena?Mambo yote kulishwa,kuwekewa maji ya kuoga,kusuguliwa mgongoni then baadae mapumziko ya kumwagiana ubongo wa sungura.Teh!

mapenzi mnayaona kwenye kufanyiwa tu?
Siku mkeo akikwambia uinamishe kitambi chako upige deki nyumba utakubali?
Vyombo utaosha? Nguo utafua? Kama mkiwa na utaratibu wa kusaidia wake zenu mambo kama hayo basi mjue na nyie mtafanyiwa mazuri zaidi ya kupelekewa maji ya kuoga.
 
Hujambo Dr!? Mie niko poa kabisa. Salaam nyingi sana kwa wagonjwa wako, nawatakia kila la heri wapone haraka.
 
hahahaha! We hutaki Tiba BAK?
Mi sijambo na wagonjwa nishaanza kuwatibia. Lol.
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Kwa sasa niko fit ile mbaya namshukuru sana Mungu, hata mafua sijui mara ya mwisho niliugua miaka mingapi iliyopita kwa hili namshukuru Mungu kila siku iendayo kwake au unazungumzia tiba ipi Dr!? Kama ile ya Babu wa Loliondo ya maji ya uzima!? hahahahahah lol! Kama ndiyo hiyo basi nahitaji :):) maana nasikia pia ni kinga nzuri sana kwa magonjwa mengine. Xmas ndiyo hiyo inakaribia bado kama wiki sita tu ile party ndio aje!? sijasahau ujue :):)
 
Sio lazima ila kama hana shida na wewe atapeleka. Kosa ulilofanya ni kudhani kua ni haki yako na sasa, sababu anataka uelewe kua huwezi kumlazimisha hata weka tena.
Kwa kutatua shida acha kabisa kulalamika na ikibidi muoneshe kwa mfano. Mara kwa mara mpelekee maji bafuni alafu mkaribishe kuoga. Utaona baada ya muda na yeye anaanza kufanya hivo. Isiwe ya kumsimganga lakini...
 
Kwa sasa niko fit ile mbaya namshukuru sana Mungu, hata mafua sijui mara ya mwisho niliugua miaka mingapi iliyopita kwa hili namshukuru Mungu kila siku iendayo kwake au unazungumzia tiba ipi Dr!? Kama ile ya Babu wa Loliondo ya maji ya uzima!? hahahahahah lol! Kama ndiyo hiyo basi nahitaji :):) maana nasikia pia ni kinga nzuri sana kwa magonjwa mengine. Xmas ndiyo hiyo inakaribia bado kama wiki sita tu ile party ndio aje!? sijasahau ujue :):)

mi nina tiba yangu maalum ila bado sijaipa jina wala utaratibu wa kuitoa bado sijapanga hadi wagonjwa muwe wengiwengi.
Aisee ila party usahau! Kumbe unapenda ubwabwa wa sherehe eeh.
Kuna mtu nilidelegate hiyo task kwake ila naona kaingia mitini.
Fanya mambo mzee wa miyoutube.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Naomba msaada wanaJF. Hivi mwanamke kumwekea maji mumewe bafuni ni wajibu au ni fadhìla tu? Nauliza hivi sababu mke wangu haniwekei maji mpaka nimgombeze au siku akipenda mwenyewe. Siku nyingi nalazimika kujibebea mwenyewe. Nimeshagombana naye mara kadhaa lakini habadiliki. Nifanyeje?

Mkuu hapo endelea tu kujibebea maji, walahi huyo samaki kisha kuwa mkavu.........ukilazimisha utarudi humu jf ukiwa na mtazamo hasi juu ya wanawake zaidi ya ulivyo hivi sasa.
 
kama anagoma mwambie housegirl awe nakuwekea halafu uone mziki wake. by the way ni kipi kinaharibika ukijipelekea mwenyewe hayo maji? au ndio mfume dume umekutawala? jiwekee shower uachane kugombamna na mkeo kama unapenda ubosi.
 
Naomba msaada wanaJF. Hivi mwanamke kumwekea maji mumewe bafuni ni wajibu au ni fadhìla tu? Nauliza hivi sababu mke wangu haniwekei maji mpaka nimgombeze au siku akipenda mwenyewe. Siku nyingi nalazimika kujibebea mwenyewe. Nimeshagombana naye mara kadhaa lakini habadiliki. Nifanyeje?

red and bolded: Kuna kila dalili ya ubakaji hapa. Huenda umeshindwa tu kuliongelea hilo..........ndoa hizi acha tu....wengine wanafaidi wengine mhhhhhhhhhh!
 
mi nina tiba yangu maalum ila bado sijaipa jina wala utaratibu wa kuitoa bado sijapanga hadi wagonjwa muwe wengiwengi.
Aisee ila party usahau! Kumbe unapenda ubwabwa wa sherehe eeh.
Kuna mtu nilidelegate hiyo task kwake ila naona kaingia mitini.
Fanya mambo mzee wa miyoutube.

Hahahahah lol! ubwabwa wa sherehe naupenda sana lakini kwenye sherehe hii nataka kula ule utakaopikwa na Dr :):)....Hebu mshtue huyo mtu banaa tusikose party bure :):) Haya mambo ya Utube hayo :):) ♥♥♥

Last edited by a moderator:

usijali, utagonga kitu cha pilau ukisindikizwa na ile show ya desh desh (kama hujaelewa sifafanui). Vyote hivyo stelingi Dr mwenyewe. Lol.
Ngoja yule mtu nimpigie.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
usijali, utagonga kitu cha pilau ukisindikizwa na ile show ya desh desh (kama hujaelewa sifafanui). Vyote hivyo stelingi Dr mwenyewe. Lol.
Ngoja yule mtu nimpigie.

Hahahahahah lol! show ya desh desh siyo! basi naisubiri kwa hamu kubwa sana na hilo pilau usiwe na wasi wasi nitahakikisha nina appetite kama 3 na nusu hivi :):):) usije kushangaa tu nikaomba mpaka ukoko wa pilau hahahahah lol! mpigie huyo mtu maana siku ndiyo zinayoyoma.
 
appetite zako zikiisha nitakuazima zangu. Lol.
Ila Dr nitaomba siku hiyo unichezee kiduku. Anza mazoezi.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
appetite zako zikiisha nitakuazima zangu. Lol.
Ila Dr nitaomba siku hiyo unichezee kiduku. Anza mazoezi.

Dah! Dr unataka nivimbiwe halafu unicheke!!!! lol! Haya zoezi la kiduku litaanza rasmi kesho maalum kwa ajili ya siku hiyo ya party kali kupita zote :):)....Naona umerudi kwenye kidude chako haya banaa :):):) maana sioni kitu jamvini (modem) :):)
 
nimerudi aisee. Network zinaniletea uzushi uzushi bana ila usikonde nitafanya mambo tena very soon. ( kuna majitu yanakodolea macho maongezi yetu ujue).
Ngoja nitoke hapa.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom