Maji Moshi kama Singida

Bakeza

JF-Expert Member
Jun 30, 2011
348
192
Jaman mamlaka ya maji mosh vp? Leo ni siku zaidi ya tano maeneo mengi mjin moshi hayana maji. Leo ni siku ya tatu binafsi kabla sijaenda kwenye mihangaiko yangu naishia kupiga passpot size badala ya kuoga. Kwa hakika maji ni tabu sana wahusika jaman tusaidien
 
Poleni...

Mipango iko mbioni kuboresha upatikanaji wa maji kwa kuchimba visima vitano. Vitakapokamilika, maji yatapatikana kwa asilimia 100 (nimesikia kwenye redio leo hii asubuhi viongozi wakisema hayo)
 
Unashangaa siku njoo bongo uone maajabu ya ukosekanaji wa maji mwaka mzima.
 
Pole mkuu. Naona wanafunzi wa muccobs wanaangaika sana kutafuta maji. Kuna jamaa yangu anaskuli hapo kanambia wasichana wanaogopa kwenda kwenye discussion wanaofia kikwapa kutema.
 
Nasikia moshi hakuna tatizo lolote la maji, ila maji 'yananyonywa' na mitambo ya serengeti breweries.
 
Jaman mamlaka ya maji mosh vp? Leo ni siku zaidi ya tano maeneo mengi mjin moshi hayana maji. Leo ni siku ya tatu binafsi kabla sijaenda kwenye mihangaiko yangu naishia kupiga passpot size badala ya kuoga. Kwa hakika maji ni tabu sana wahusika jaman tusaidien

Hivi Watanzania wa Singida hawana hadhi sawa na wale wa Moshi? kuna uhalali gani wa kuwepo maji Moshi na Singida yasiwepo? Jamani tujifunze kuheshimiana, haya mambo ya kudharauliana yalikuwepo sana kwenye 70s nashangaa bado kuna watu wenye kuendeleza hii itikadi potofu. Tushikiriake kuijenga jamii ya Watanzania yenye haki sawa kwa watu wote bila kujali makabila, dini wala mahala wanapoishi
 
Naamini kabisa ujumbe huu utakuwa umemfikia Ndesamburo na Chadema kwa ujumla. Kwa ku-solve matatizo ya kijamii nawaaminia. Raia wa Moshi jiandaeni kubadilisha mabomba yaliyochakaa maana hayatastahimili pressure ya maji yatakayofunguliwa.
.
 
Hivi Watanzania wa Singida hawana hadhi sawa na wale wa Moshi? kuna uhalali gani wa kuwepo maji Moshi na Singida yasiwepo? Jamani tujifunze kuheshimiana, haya mambo ya kudharauliana yalikuwepo sana kwenye 70s nashangaa bado kuna watu wenye kuendeleza hii itikadi potofu. Tushikiriake kuijenga jamii ya Watanzania yenye haki sawa kwa watu wote bila kujali makabila, dini wala mahala wanapoishi
Mkuu mleta mada ni mpuuzi anayeishi kwa kukariri
 
Back
Top Bottom