NATA
JF-Expert Member
- May 10, 2007
- 4,492
- 1,311
Ajabu karibu mwaka na nusu watu wamakongo juu wamewekewa mabomba kwa mradi wa wachina.
Lakini cha ajabu maji hayajawahi toka hata siku moja na mabomba yashaanza kuibwa na yamepata kutu..
Hivi hii inasababishwa na nini?
Na hawa wachina ndiyo yale mambo yao ya hakuna lisilo wezekana?
Naomba kama kunamtu anafahamu sababu zilizo sitisha huu mradi anijuze please!