Thinking capacity yako ndogo sana..sijawahi amin kama kuna serikali inaajiri mtu akale mshahara bure .hao wanajeshi walioko mpakani wakilinda mipaka wew unaona wanacheza??? na hao wanaoenda kusaidia kulinda amani nchi mbali mbali wew huna taarifa?? Shukuru mungu nchi yako haina machafuko kiasi cha kufanya uone askari wa nchi yako kwa upande wa ndani ya nchi kuwa hawana kazi wanapata mishahara ya bure but simply ukitaka wafanye kazi yao kila siku kama unavotaka wew cgafua amani kidogo tu utaona kazi yao.hata hiyo nafasi ya kutikisa tako hutopata wala chance ya ku post huu upuuzi wako. FURAHIA AMANI YA NCHI YAKO.Sio kweli hata kidogo GT
Kwa sababu hawa wanajeshi sio kwamba wanatoa huduma za kujenga madaraja bure, no hawa wanalipwa kila mwezi bila kazi yoyote wanayofanya, na ndo maana zikitokea kazi za dhalula wanafanya, unaweza kuniambia wanafanya kazi gani specific hawa jamaa, wakati wanalipwa kila mwezi
Na kama ndo hivyo kila mtu atataka kusafiri bure, nani kama Mwalimu aliyewafundisha watu, kwanini hasisafiri bure?, na Madaktari je wanaokoa Maisha ya watu, mbona nao hawasafiri bure?
Hakuna mantiki katika hili kuwa askari wasafiri bure kwa sababu zipi?
Kwanza askari wa Tanzania wengi hawana nidhamu na maadili hata kwa wananchi wao, wengi wamekuwa wakiwapiga na kuwaonea wananchi, pili kuna makundi makubwa sana ya ujambazi ambayo na Maaskari wanashiriki.
Hivyo basi mimi sioni kama wao ni muhimu sana kuliko watu wengi mpaka waweze kusafiri bure
Thinking capacity yako ndogo sana..sijawahi amin kama kuna serikali inaajiri mtu akale mshahara bure .hao wanajeshi walioko mpakani wakilinda mipaka wew unaona wanacheza??? na hao wanaoenda kusaidia kulinda amani nchi mbali mbali wew huna taarifa?? Shukuru mungu nchi yako haina machafuko kiasi cha kufanya uone askari wa nchi yako kwa upande wa ndani ya nchi kuwa hawana kazi wanapata mishahara ya bure but simply ukitaka wafanye kazi yao kila siku kama unavotaka wew cgafua amani kidogo tu utaona kazi yao.hata hiyo nafasi ya kutikisa tako hutopata wala chance ya ku post huu upuuzi wako. FURAHIA AMANI YA NCHI YAKO.
Sio wote wanaolinda na hawa tulionao uswaz wanalinda nini mafisadi ama
Kwa hiyo ungependekeza hats waachishwe KAZI, na jeshi lisiajiri tena lisubiri wakati wa vita! Tunafikiri mambo mazito kwa wepesi mno!
Je ipo sheria yeyote inayompa askari Polisi, JKT, Magereza, JWTZ, na FFU furusa ya kupata huduma ya usafiri bure katika mabasi yanayofanya biashara katika nchi ya Tanzania? Tabia hii inakwaza wawekezaji wenye uwezo wa kuwekeza katika biashara ya usafirishaji, kama yupo mwenye ushahidi atusaidie tujue kiwango cha madhara ambayo Watanzania wanayapata na wataendelea kuyapata kwa ajili ya kundi la askari ambao kwa sasa ndio wanaolipwa vizuri kuliko watumishi wengine wa uma na bado wanataka huduma ya usafiri wa bure.Kama sheria haipo nini kifanyike sasa kukomesha tabia hii?.

Hili jambo linatia aibu sana nchi , hivi inakuwaje jitu lenye tumbo kubwa , lina mke na watoto halafu linapata mshahara lakini bado linataka kusafiri bure ?Je ipo sheria yeyote inayompa askari Polisi, JKT, Magereza, JWTZ, na FFU furusa ya kupata huduma ya usafiri bure katika mabasi yanayofanya biashara katika nchi ya Tanzania? Tabia hii inakwaza wawekezaji wenye uwezo wa kuwekeza katika biashara ya usafirishaji, kama yupo mwenye ushahidi atusaidie tujue kiwango cha madhara ambayo Watanzania wanayapata na wataendelea kuyapata kwa ajili ya kundi la askari ambao kwa sasa ndio wanaolipwa vizuri kuliko watumishi wengine wa uma na bado wanataka huduma ya usafiri wa bure.Kama sheria haipo nini kifanyike sasa kukomesha tabia hii?.
Huna akili we kasome magazine ya udaku ,unaonekana hata shule hukwenda, wewe na wenzio wote msiojua kazi za jwtz ni wapuuzi tu, mnakarisha mikundu, mnakunyakunya,mnazaa tu hamjali hii amani imekujaje...wapuuzi tu, kauze uch
arøoo muraaa,kuwa na adabu.usidhani sisi ni ------- wenzio,we reasonHuna akili we kasome magazine ya udaku ,unaonekana hata shule hukwenda, wewe na wenzio wote msiojua kazi za jwtz ni wapuuzi tu, mnakarisha mikundu, mnakunyakunya,mnazaa tu hamjali hii amani imekujaje...wapuuzi tu, kauze uch