Majeruhi wa Mapenzi- Ready for Review== Order your Copy Today!

Kati ya watu wa kuhurumiwa wewe ni namba mmoja mkuu. Utakosa vingi ktk maisha kwa hasara yako for sure.

Tatizo lako ni mawazo yako. So materialistic. Kwa kukosa udaku ndio nimekosa vingi? huoni kuwa ni faraja kubwa kukosa hayo?
 
loh chuki binafsi hizi? au mm kakutosa?

Hapana, sina chuki na yeyote wala hajanitosa wala sijamtosa, hana hadhi hiyo.

Tatizo lenu hamjui kusema ukweli hata mnapoujuwa. Mimi ni different version.
 
Back
Top Bottom