Majeraha yaliyoachwa na uchaguzi Mkuu.

furahi

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
945
195
Kwa upande wangu haya ndiyo majeraha ya moyo niliyobaki nayo baada ya uchaguzi mkuu. Nadhani na wenzangu mnaweza kuniunga mkono kwa hili.
Majeraha niliyoexperience ni kama ifuatavyo. Unaweza pia ukaendeleza list.

  • Mkurugenzi wa Uchaguzi Manispaa ya Arusha kufukuzwa kazi kisa kushindwa kumhukumu Lema kwa "kumtukana" Batilda wakati wa kampeni.
  • Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Kuondolewa madarakani kisa kutaka haki itendeke katika kutangaza matokeo ya Ubunge jimbo la Arusha mjini.
  • Tido Mhando kunyimwa mkataba mpya kisa kuruhusu mijadala ya wagombea....
  • Dr.W. Slaa kuibiwa kura nyingi.
  • Samwel Sitta kunyimwa Nafasi ya kugombea tena uspika.
  • Nasikia na Mkuu wa Mkoa wa Arusha naye anaelekea kuchapa lapa!
Endeleza list.......
 
Back
Top Bottom