majengo mapya - Nyumba ya Sanaa

lukindo

JF-Expert Member
Mar 20, 2010
8,466
9,028
Habari wana jf

Nimekuwa nikipita barabara ya Ali Mwinyi pale ilipokuwa Nyumba ya sanaa zamani pembeni mwa hotel ya Serena, naona kumezungushiwa uzio na kuna process za ujenzi zinaendelea lakini kama ilivyo kawaida kwa ujenzi wa namna hii sijaona vibao vinavyoonyesha mmiliki wa mradi, mkandarasi, mshauri nk!

Pia kwa mbele kidogo katika barabara hiyo hiyo njia ya kuelekeza hospitali ya Aga Khan kuna mradi mwingine kama huo huo ila badala ya kuweka hizo sign posts upande unaoonekana zimefichwa upande wa barabara ndogo.

Wanajamvi, naleta hoja hii hapa sio kwa nia mbaya bali viwanja husika ni kama mali ya umma. Nakumbuka miraji yenye utata huwa ni nadra sana kuweka taarifa husika mfano jengo la vijana mpaka linaisha sasa hawajawahi kuweka contents za mradi. Nasema jengo la vijana maana ni mali ya watanzania pia na si la ccm kama walivyoamua kuliuza na kupoteza historia ya nchi. Refer kwenye tume ya Jaji Nyalali

Nawasilisha
 
Back
Top Bottom