Majengo hospitali ya rufaa singida bado shilingi bilioni mia nane yaweze kutimia

Mimi naijua hiyo hospitali ilpo, na ujenzi ulipofikia sijuhi hata kma 1 bilioni inafika, hiyo ni bajeti ya WIZARa ya afya yote labda ni 800 Milioni.
 
Mimi nimesikia Radio One, 800 Billion.

Anayesema 8 Billion katoa wapi hizo taarifa.

Wamesema, Serikali imekuwa ikitenga 4 billion kila mwaka; na itachukua zaidi ya miaka 90 kukamilika endapo matengo yatakua hivo
 
Wana JAMVI

HOSPITALI YA RUFAA SINGIDA inadai shilingi bilioni mia nane kukamilika. Taarifa hiyo alipewa Mheshimiwa Dkt Seif Rashid alipofanya ziara mkoani humo jana na Mtaalamu wa Chuo kikuu cha Ardhi.

Source Radio One (NEWS 23/07/2012).

Question

800,000,000,000/= ??????????????????????????????????????//

Wanajenga MJI au wanajenga Hospitali?????

Nawasilisha

Hata baadhi ya wizara nzima haijapewa pesa kama hizo mmekosea itakuwa milioni mia nane au bilioni nane lakini siyo bilioni mia nane, Mkuu rudi kujipanga upya na taarifa sahihi kwa hii siyo sahihi kwa asilimia mia moja
 
Tumwombe Mungu afanye miujiza maana TZ ni noma,hata sielewi kuna nn mbaya!
 
Walisema Serikali imekuwa ikitenga Bilioni Nne Nne, amabazo zimefanikiwa kwa taabu kukamilisha ujenzi wa Majengo mawili.

WEWE NDIO URUDI, au utupe uhakika wa TAARIFA YAKO.

Angalia Thread na uone kuwa inawafikiwa na baadhi ya madaktari wa Singida.

Ni 800 Billion.

Na kutokana na hiyo figure kuwa ya ajabu; nimechukua jukumu la kuipost ili ijadiliwe jamvini na tupate taarifa zaidi kuhusu hili.

Hata baadhi ya wizara nzima haijapewa pesa kama hizo mmekosea itakuwa milioni mia nane au bilioni nane lakini siyo bilioni mia nane, Mkuu rudi kujipanga upya na taarifa sahihi kwa hii siyo sahihi kwa asilimia mia moja
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom