Majenereta haya yatosha kumaliza tatizo la umeme

fisi 2

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
3,273
4,626
Nina mgeni toka Italy , amekaa siku 3 akishuhudia mgawo wa Ngeleja. Jana amezunguka kitaa. Kaanzia Kariakoo, Kisutu, Mwananyamala na akarudi Hotelini kwake. Kwa survey hii amenipa finding hii- 'Kama fedha zilizo tumika na zinazoendelea kutumika kwenye majenereta haya yote mitaani kwa nchi nzima shida ya umeme ingekuwa ndoto'.
 
Mkuu! huyo ni mgeni wako au wa ofisi? We huna kwako mpaka anakaa hotelini? Misifa tu...!
 
Back
Top Bottom