Majasusi Watoa Maamuzi Ovyoo! -Uzalendo Hamna

Mpekupeku

New Member
Jan 19, 2012
1
0
Tanzania imevamiwa na mataifa ya Magharibi, umoja wa ulaya, mashariki ya mbali kwa vigezo vya uwekezaji, utawala bora na diplomasia ya kijeshi huku usalama wa taifa na jeshi vikipiga makofi kwa kushindwa kushauri na kudhibiti uvamizi huu kisera. kwa nini mnawatandikia Red Carpert hadi maofisini kwenu mkiwashangilia. ati washauri wa kiufundi. Thubutu!!!! Watanzania huko maofisini vipi nyinyi????
 
Back
Top Bottom