Majaribu

Kimbweka

JF-Expert Member
Jul 16, 2009
8,597
1,683
Wakuu
Hii nimeona niilete humu ili tuijadili!
Kuna mdada mmoja jamaa yake ni rafiki yangu! Wanaishi pamoja ingawa hawajafunga ndoa kiutaratibu ila wapo mbioni! Sasa imekuwa kila lunch time anataka ama tuende nae au nimpe hata hela akinunu chakula akipendacho! Hii inanikera maana wakati mwingine uchumi unakuwa siyo mzuri na unaanza kupata shida ya kumuepuka! Mbaya zaidi juzi wakati wa lunch akaanza kuni minyaminya mabegani kama mtu anayezifanyia masaji muscles za mabega! Hii naona ni dalili mbaya hasa kwangu maana mimi ni mwepesi wa mahisia ya mapenzi na yeye ni demu wa jamaa yangu! nifanyeje kuliepuka hili wakuu..........., Kumwambia nashindwa nahisi atanichukia na mimi sipendi iwe hivyo!
 
Sina hakika ni 'rule' namba ngapi itatumika hapa....
 
leo nawe una visa! mweleze huyo binti kuwa hupendi afanyayo yy ni mchumba wa rafiki yako ukiendekeza utajajikuta unavunja urafiki wenu na uchumba wao! kaa mbali nae
 
leo nawe una visa! mweleze huyo binti kuwa hupendi afanyayo yy ni mchumba wa rafiki yako ukiendekeza utajajikuta unavunja urafiki wenu na uchumba wao! kaa mbali nae

Nimeamua kusema yaujazayo moyo wangu:becky:
 
Wakuu
Hii nimeona niilete humu ili tuijadili!
Kuna mdada mmoja jamaa yake ni rafiki yangu! Wanaishi pamoja ingawa hawajafunga ndoa kiutaratibu ila wapo mbioni! Sasa imekuwa kila lunch time anataka ama tuende nae au nimpe hata hela akinunu chakula akipendacho! Hii inanikera maana wakati mwingine uchumi unakuwa siyo mzuri na unaanza kupata shida ya kumuepuka! Mbaya zaidi juzi wakati wa lunch akaanza kuni minyaminya mabegani kama mtu anayezifanyia masaji muscles za mabega! Hii naona ni dalili mbaya hasa kwangu maana mimi ni mwepesi wa mahisia ya mapenzi na yeye ni demu wa jamaa yangu! nifanyeje kuliepuka hili wakuu..........., Kumwambia nashindwa nahisi atanichukia na mimi sipendi iwe hivyo!

Hapo ndipo unapokosea au kama ukishindwa hebu pitia ile thread ya mpwa TEAMO uangalie rule namba ngapi inaweza ika apply
 
Either of the two

3-INFIDELATORS/INFIDELEETES wanatakiwa kushea-KIZURI KULA NA NDUGUYO!(hii sheria ni muhimu sana).ukimpata infideletee anaejituma sana gesti muhabarishe na mwenzio akamfaidi.SHARING IS CARING-KUGAWANA NI KUJALI

Rule namba tatu hiyo tuko pamoja Kimbweka:becky:
 
Either of the two

Hapo ndio ushauri unakuwa mgumu....! Lakini hizi katiba zinapingana kama ifuatavyo;

Katiba ya INFIDELITY members inasema kuwa mazingira kama hayo yatokeapo unakula mzigo, then unasafisha kinywa kupoteza ushahidi...!
Lakini Opponents wanasema unaweza kuamua vyovyote, ila kwa sharti moja tu; kuwa uweke wazi unachokipenda na ulichoamua...! Je, utaweza?
 
Unakubalije kushikwashikwa na shemejio?Inaelekea unataka tukuambie nawe umshike ili muendelee na mchezo wenu maana ushemeji una mipaka na huwezi kuruhusu akuzoee kiasi hicho.
Cha kufanya kwa kuwa ulianza kwnda nae lunch usiache maana wewe mwenyewe ndio uliyeyaanzisha hivyo vumilia tu ila mwambie kuwa hufurahii kushikwa nae na ataelewa
 
Wanawake wengine mbona wana tabia mbaya hivyo,kujiheshimu hawawezi.rafiki yako hata akimuoa,hatotulia,mtu na heshima zake hawezi kufanya hivyo.Na wewe be a man,mueleze ukweli,ukikaa kimya,leo atakukanda mabega,kesho atakugusa nanilio yako.Ukiendelea kukaa kimya atajua una enjoy huo mchezo.
 
3-INFIDELATORS/INFIDELEETES wanatakiwa kushea-KIZURI KULA NA NDUGUYO!(hii sheria ni muhimu sana).ukimpata infideletee anaejituma sana gesti muhabarishe na mwenzio akamfaidi.SHARING IS CARING-KUGAWANA NI KUJALI

Rule namba tatu hiyo tuko pamoja Kimbweka:becky:

Kweli mkuu tena ni chombo duh! Halafu si unajua wabana pua
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom