Majaribu ni mtaji wa kuongeza imani

Lady G

JF-Expert Member
Dec 13, 2010
515
130
habari zenu wandugu. jamani hivi nikweli majaribu ni mtaji wa kuongeza imani..............unapojaribiwa sana, hadi kupoteza tumaini, hapo imani inaongezekaje!!! lol
 
Kama upo katika imani ya kidini sawa lakini kama umejiachia inaweza kuwa shida ukisubiri kufa.
 
Imani pasipo matendo ni kazi bure,ja inategemea ni jaribu la aina gani
 
Inategema hiyo imani yako umeijenga wapi. Kama umeijenga kwenye Mwamba ambao ni Yesu kristo, hapo hakuna kitakachoshindikana. Lakini kama imani yako imejengwa kwenye mchanga subiri umauti tu
 
Back
Top Bottom