Majanga: Waziri Muhongo Asusia Ndege, Kisa, Kakosa Daraja La Kwanza

Siwezi kuwashangaa saaaana katika hili maana ni uhuru wenu kuongea, kuhusu hili la Muhongo, mimi ninasimama kutamka hadharani kua ilivyoripotiwa na hilo gazeti la udaku si kweli, Muhongo hakukataa kusafiri na hiyo economy class, na alisafiri siku hiyo hiyo.

Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni kwa hili Muhongo hana kosa hata kidogo, hivi kwa akili yako kuna umuhimu wa kupitia dubai ulale huko wakati hapo Algeria ni karibu tu, tena tunapaswa kumpongeza kwa kuonesha uzalendo wake maana hakutaka kuharibu fedha ya serikali kwa kumgharamikia malazi ya hapo dubai ambapo atakuwa kama mtalii tu na hivyo kugoma na baadae alipatiwa ndege ambayo ilimuwezesha kufika huko alipokua akienda siku hiyo hiyo, yule ni msomi bhana sio kama.....

ha ha ha ha ha! msomi asiyejua mitaji ya biashara inapatikanaje?
 
Hao ndio machaguo ya JK...sasa ngojeni abadilishe baraza la Mawaziri halafu Muhongo atolewe muone atakayewekwa......mtapiga mlizi mkisema bora Mhongo,CCM kuna mwenye afadhali?.......Mtasubiri sana.
 
wacha kuandika upuuzi humu
kwa vile uko CCM sio unapinga kila kitu
inabidi akili yako ikaombewe....habari imefanyiwa uchunguzi na kuhaririwa
kawaulize wafanyakazi wa airline inayohusika kama huamini lakini sio kubisha kila kitu hapa
CCM must go,Mtanzania kama wewe unakariri huna akili ya kuhoji wala utambuzi hufai kuitwa Mtanzania

Ebu acha ushamba wewe, una ushahidi wa kilichowekwa hapa jukwaani?? Na kama ni kweli jee umejua sababu ya mhongo kukataa kupanda bisnes clas? Na una uhakika kakataa kupanda au kaahirisha ziara?

Mimi naona ni umbea tuu huu. Nina mengi ya kujadili.
 
Ben Saa 8. Huko Chadema, mimi CCM damu....Nakwambia, kama kuna mabadiliko kwenye baraza la mawaziri na huyu mtu akabaki kwenye hilo baraza, natupa kadi navaa gwanda. I swear to God !

Utaifa kwanza !

Huyu mtu kazidi matusi kwa watanzania. Kwani kabla ya uwaziri alikuwa anapanda nini, wakati akeidna Musoma alikuwa anapanda basi la kawaida?

Enzi za Maisha ya udogoni mwa huyu jamaa mabasi yaliyokuwa yanawafikisha kule kijijini kwao Bwai ni Nyanja, Dedani, Mayanja, etc.
Sasa kama anapenda misifa mbona pale kwao Mukendo kawaiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiida sana. Tuwe tunafikiria na tunakotoka. Kwa mawaziri wote wa Serikali hii, mtu mwenye utu ni MGIMWA peke yake.
 
yan kama unachokisema ni sawa bado muhongo ana makosa tu.alikwendaje airport akiwa hajui ndege yake inapita wapi mpaka kufika aendako?mi naona your just unreasonable.

Kwa mtu anayesafiri mara kwa mara kama yeye na viongozi wengine, na ukizingatia mzigo wa kazi alizonazo, siyo rahisi sana kwa yeye kuangalia details kwenye tisket ya safari. Huwa tunafanya hivyo sisi wengine ambao siyo frequent fliers, sababu ya hamu ya safari na pia muda upo wa kucheck such minor details kwenye ticket zetu ila si kwake yeye. Nikuulize swali kwa mfano, unapokuwa uko ndani ya daladala la kutoka tuseme Mwenge kwenda Posta kupitia Alli Hassan Mwinyi Road, je mara ngapi kwenye safari hizo huwa unaagalia nauli kwenye ticket ya daladala imeandikwa shillingi gapi? Je, huwa unaangalia kuwa ticket imeandikwa "via AlliHassan Mwinyi Road" kweli ama la?, Na je, huwa unahakikisha kuwa ticket imeandikwa Mwenge Posta na si Mwenge Kariakoo au kwingineko? Kama huwa unafanya hivyo, inaweza ikatokea mara moja ka mwaka. Lazima tukubali kuwa hawa watu tumewapa majukumu ya nchi na hivyo hivi vitu vidogovidogo hawana tena muda wa kuviangalia, as long as kuna mtu amefanya booking na akamhakikishia kuwa safari yake ipo na as scheduled, atajikuta hadi yuko VIP lounge na hajapata hata sekunde ya kuifunua ticket aliyonayo, kwanza kwa kukosa muda wa kufanya hivyo na pili kwa kuamini kuwa mtu aliyekabidhi ticket kwake amefuata ule mfumo ule wa utaratibu wa safari wa kawaida kama ilivyo sku zote. Kama maelezo ya wambeke yako sahihi, tafadhali sana ingefaa huyu mtu asiendelee kusakamwa kwa jambo ambalo he appears to be very genuine, na badala yke anatakiwa apewe complimemts
 
Last edited by a moderator:
Ben Saa 8. Huko Chadema, mimi CCM damu....Nakwambia, kama kuna mabadiliko kwenye baraza la mawaziri na huyu mtu akabaki kwenye hilo baraza, natupa kadi navaa gwanda. i swear to God !

Moscow ila ni ninyi mlimshangilia sana baada ya akina Ngereja kutolewa!...Huyu ni Mtaalam wa Miamba (Geologist) tena mwenye ujuzi wa hali ya juu, nafasi inayomfaa ilikuwa ni Kamishina wa Madini sio Uwaziri...Ndo maana akina Mengi wanamuita waziri Prof Muongo sio Muhongo
 
Watanzania acheni wivu wa kike na mjadili hoja baada ya kupata upande wa pili.

MUHONGO alikata ndege baada ya kuambiwa inapita DUBAI na wanalala DUBAI.
KWA HALI YA DUNIA HII KWENDA ALGERIA MPKA ULALE NJIANI???
WATU TUNAENDA CHINA MAREKANI HATULALI NJIANI IJE KUA ALGERIA?\
MUHONGO ALISEMA HAWEZI LALA DUBAI KWA SAFARI YA ALGERA

AKABADILI NDEGE AKAPANDA KLM AKAFIKA ALGERIA SIKU HIYO HIYO NA ALIPANDA Economy Class
KWA WALE WALIOWAHI KUPITIA DUBAI WANAWEZA KUSEMA. HASA KIPINDI HUKI CHA SIKUU DUBAI NI SHIDA SANA SEHEMU YA KULALA NI SHIDA. SASA MLITAKA MUHONGO AWAFRAHISHE AKALALE DUBAI? ACHENI UJINGA
mkuu yaelekea hujawahi hata huko kunakoitwa kusafiri kwa ndege au kama siyo basi unamasilahi binafsi. kwa vyovyote vile iwavyo tiketi huwa inajieleza kuanzia mwanzo juu ya ruti ya safari muda wa kushuka na kubadilishia ndege. KWA KIFUPI UNATETEA UPUMBAV.U, Unaudhi sana.
 
Ben Saa 8. Huko Chadema, mimi CCM damu....Nakwambia, kama kuna mabadiliko kwenye baraza la mawaziri na huyu mtu akabaki kwenye hilo baraza, natupa kadi navaa gwanda. I swear to God !

Utaifa kwanza !

Huyu mtu kazidi matusi kwa watanzania. Kwani kabla ya uwaziri alikuwa anapanda nini, wakati akeidna Musoma alikuwa anapanda basi la kawaida?

Mie sioni kosa lake kwa nini apande economy wakati alitakiwa aende kwa business class? kama ni utaratibu wa mawaziri kwenda kwa business class basi ni haki yake wala hakuna kumzonga kwa maneno, mie nipo CHADEMA damu lakini kwa hili namuunga mkono waziri. Acheni chuki zenu kwa kila kitu. Mie mwenyewe mtu mdogo tu nikienda safari za kikazi nawekwa business class, kwanini waziri ashambulie kwa maneno? Pia kuhusu kauli yake kwa wafanyabiashara wa Tanzania kuwekeza kwenye juice na maji ni sahihi, maji yenyewe wanatupandishia bei kama nini, hawana uwezo wa kuwekeza kwenye gas hao labda waungane, Manji, Mengi, Baharesa, Azizi na wengine pamoja na kwamba hata wao hawakai chungu kimoja.
 
Dk Slaa alisema pia kuwa Chadema kitatumia wabunge wake kuibana Serikali kuhusu Fedha za ruzuku ya kilimo zinazotolewa kwa ajiri ya maendeleo ya kilimo lakini zimekuwa zikatafunwa na wajanja wachache"source Mwananchi leo
Angalizo,sialalishi wizi,na sipendi wezi kuwaita wajanja,Je Slaa yupo tayali kuwajibika sababu utafanaji olela wa ruzuku ndani ya CDM

Wewe ni bweg......e kwani dr Slaa ndio anaendesha serikali? Kama huna la kupost waachie wenzako nawe usome tu.
 
ameshakuwa mungu mtu huyu, hahitaji tena kujishusha. Kusafiri kwa ndege tu kwa kodi ya Watz bado ni gharama, kama haitoshi unataka daraja la kwanza ili watz waumie zaidi. Utakuwa na huruma kwa watz kweli wewe? tuna mambo mengi ya kufanya achilia mbali deni la taifa, tujitahidi kuepuka gharama ambazo si laziam na wala hutapata madhara yoyote kwa kusafiri na wananchi wenzio ndani ya ndege.
 
Yaani watu wasiomjua huyu Prof. ndo wanashtuka, huyu ni kama chizi tu, hata familia yake Musoma kaitelekeza, na pia akienda Musoma anaishia kukaa kwa ndugu zake, hana Nyumba DAr wala Musoma, leo anajifanya kukataa kupanda B'ness Class.

Pamoja na U professor wake, bado ana njaa tu huyo!

Wakina Kalemela walimfilisi kila kitu.Maana alikuwa kaoa huko
 
mkuu hii habari inaudhi, siyo yakushabikia hata kidogo.

naona mkwepa kodi mengi anamchafua wazri muhongo kwa kila njia kuptia magazwti yake na hili la udaku la Tanzania daima linalomilkiwa na ndugu yake wa kule kwenye ule mlma mrefu baada mengi kutoswa vtalu vya mafuta alishazoea ujanjaujanja anaiba bilion kumi anatoa msaada milion jumi kujsafsha kwa wasiomjua
 
Watanzania acheni wivu wa kike na mjadili hoja baada ya kupata upande wa pili.

MUHONGO alikata ndege baada ya kuloambiwa inapita DUBAI na wanalala DUBAI.
KWA HALI YA DUNIA HII KWENDA ALGERIA MPKA ULALE NJIANI???
WATU TUNAENDA CHINA MAREKANI HATULALI NJIANI IJE KUA ALGERIA?\
MUHONGO ALISEMA HAWEZI LALA DUBAI KWA SAFARI YA ALGERA

AKABADILI NDEGE AKAPANDA KLM AKAFIKA ALGERIA SIKU HIYO HIYO NA ALIPANDA Economy Class
Dah!
Kumbe siku hizi unaweza kupanda KLM kutoka Dar hadi Algiers na kufika siku hiyohiyo?!

Route ya KLM niliyokuwa nikiijua mimi ni Dar-Amsterdam via KIA.
 
Dah!
Kumbe siku hizi unaweza kupanda KLM kutoka Dar hadi Algiers na kufika siku hiyohiyo?!

Route ya KLM niliyokuwa nikiijua mimi ni Dar-Amsterdam via KIA.
Huyu muhongo anatuona sisi vilaza sana ee. Najua hakuna route ya emirates kwenda algeria bila kupitia dubai na klm vile vile lazima ufike amsterdam turkish lazima ufike uturuki egypt lazima ufike cairo etc. si angepanda fast jet yao
 
Umbea huu, watz fanyeni kazi

Ndo hasara za kuwa masikini wa Akili unawategemea viongozi na nahisi wanakupumulia kisogoni pimbi wee ndo maana huoni kama hii habari ni fedhea kwa Taifa Kiraza mkubwa weee
 
Ndo hasara za kuwa masikini wa Akili unawategemea viongozi na nahisi wanakupumulia kisogoni pimbi wee ndo maana huoni kama hii habari ni fedhea kwa Taifa Kiraza mkubwa weee

Mkuu nayapokea haya matusi yenu kama changamoto, naona chadema mmejipanga sana.
 
Mkuu nayapokea haya matusi yenu kama changamoto, naona chadema mmejipanga sana.

tatizo hili gazeti linafanya kazi ya chama.kupandikiza chuki miongoni mwa wtz...

bora hata ingekuwa ni RISASI ndo wameandika ningeamini ila hili la muheshimiwa m/kiti sina imani nalo...
habari zake za kichochezi mno....
 
Sasa huyu anayemtetea ni kama anamuharibia kabisa...kwamba alikataa Emirates sbb angelala Dubai,so akaamua kupanda KLM na akafika siku hiyohiyo Algeria,Is it??????
Maana Emirates kwa schedule ya HTDA to OTBD ni saa kumi na nusu,wakati KLM Schedule yake ni Amsterdam-K'njaro to Dar,then inatoka Dar to Amsterdam....na inafika Dar saa nne usiku!!!
Hawa mawaziri wa CCM wa ajabu sana,last week nilisafiri ndege moja na Naibu wanamuita sijui Kitwanga kwenda Zanzibar...ajabu akataka eti abiria wote wakae kwanza lounge mpaka yeye apande peke yake vile yeye ni VIP,jamaa wakamgomea,wakamwambia hiyo kitu haipo nyie wote ni abiria...na vindege vyenyewe ni hivi vidogo kama vipanya vya watu 12...Nilishangaa sana,wanapenda sana makuu hawa viongozi
 
Back
Top Bottom